Kwa sasa Sim a ndiyo timu bora afrika mashariki na kati Ubaya Ubwela kwa vitendo

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Jul 24, 2024
1,541
3,462
Ubaya Ubwela kwa vitendo.

• Timu kubwa KILELENI.
• Timu ya Wanawake KILELENI.
• Timu ya Vijana KILELENI.


Kwa Simba ndo Timu bora afrika mashariki na kati
IMG-20250213-WA0011.jpg
 
Nitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao
na kuwatoa baadhi ya wachezaji.
Maboresho angalau matano ya maana

i. Beki wa kati 5,
ii.kiungo wa ukabaji 6.
iii.Mshambuliaji 9.
Iv.kiungo mshambuliaji 10.

WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO.
1. Karabue chamue.
2. Agustine Okejepha.
3. Joshua Mutale.
4.Steven Mukwala.
5. Aishi Manula.
 
Mashabiki wa Simba huwa wanafurahisha sana. Siku timu ikifungwa au kutoa tu hata sare, kelele za kumkataa Mangungu na Matola, zinaanza tena!
 
Back
Top Bottom