johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,208
Ni wazi Uchaguzi mkuu 2025 Vita ya Kisiasa ndani ya CCM itakuwa kubwa sana zaidi ya ile ya 2025
Ushauri wangu Wanachama watakaoshindwa kifigisu kwenye Kura za maoni waruhusiwe kugombea Ubunge au Udiwani kupitia Vyama vya Upinzani Chadema, ACT wazalendo, Nccr, UDP nk
Na kama Wananchi watawachagua huko Upinzani basi warudi tena CCM kuunga Juhudi kisha paitishwe Uchaguzi mdogo kama ilivyokuwa kwa Mwita Waitara, Dr Mollel, Gekui nk enzi za Shujaa Magufuli
Ahsanteni sana 😄🔥