Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,153
- 10,829
Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi.
Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa kilimanjaro bila aibu tena kwa kujiamini.
Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi kurudisha fomu kwa kuwafai rushwa na kuongea maneno ya uchochezi kuhusu chama ngazi ya wilaya.
Ujumbe huu uwafikie viongozi wa ngazi ya mkoa na Taifa na ikiwezekana uhamishwe Hai kipindi hiki cha uchaguzi.
Kuwepo kwako Hai kunawwza kuharibu mwenendo wa uchaguzi na mwisho kuzalisha viongoxi ambao ni wapinzani wa CCM.