Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

round kick

Senior Member
Feb 3, 2025
196
678
Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa.

Conditions:

Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja

Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana

Kutakuwa kuna relationship kubwa ya watoto wa kiume wa kwanza kujizolea umaarufu wa kuwa na spirit ya kupambana ila kwa watoto wa kike wakiwa 1st born wanajitahisi kudumu kwenye ndoa.

Kina first bone wanavyoondoka nyumbani wanajua wanaenda kwenye ndoa, hawa ni watoto walioona mambo mengi tangu wazazi wakiwa vijana bega kwa bega mpaka uzeeni, wamesaidia malezi ya wadogo zao, n.k.

Kina first bone wana jukumu zito la kuwa mfano wa wadogo zao wanaowafauta na wapo sensitive na vile jamii inavyowachukulia kama watoto wa kwanza wa familia, majina yao huwatambulisha wazazi wao, mama flani, baba flani.

hawa wengine wanaondoka na funguo za vyumba vyao hakuna mtu kuingia, 😂 bado wapo attached zaidi na nyumbani
 
Tumia akili na omba san.

20250212_012743.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
wanaume dhaifu mnajificha kwenye kivuli cha kutafuta excuses kwa wanawake

technically wanawake wote ni sawa ina depends kukutana na mwanaume strong kiasi gani
 
wanaume dhaifu mnajificha kwenye kivuli cha kutafuta excuses kwa wanawake

technically wanawake wote ni sawa ina depends kukutana na mwanaume strong kiasi gani
Really brow hayo mambo hayana formula hata kidogo
 
Research yako umeichapisha kwenye majarida ya wasomi mangapi mpaka sasa?
 
Imethibitishwa pia na tafiti kuwa birthorder inachangia sana kwenye namna character na personalities zinavyoform.

📌 Oa au olewa na last born ndiyo utaelewa vizuri 🙃
 
Back
Top Bottom