ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,326
- 50,561
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka Kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama Singida au Dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa.
Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu, unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama Mbinga au Songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo, hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.
Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama Makonda, Mtaka, Chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.