Kwanza niseme msukumo wa kuandika haya umetokana na kuona video moja ya mzazi akiwa peke yake zahanati ya serikali amejifungua bila msaada wowote. Nimesikitishwa sana na video hii hasa ukizingatia yule alikuwa bado msichana na ndiyo mtoto wake wa kwanza.
Nimeoma maoni ya wengi walioona video hii, hawakuwa na muda wa kujiuliza maswali zaidi ya kuhukumu muuguzi aliyetakiwa kuwepo hapo kituoni na hakuwepo.
Hakuna aliyejiuliza kituo hicho kina watumishi wangapi na huenda kikawa na mtiumishi huyo mmoja tu.
Huyu ni binadamu,iwapo anafanya peke yake kituoni,je hana muda wa kupumzika kwake?
Hana dharula nyingine za kibinadamu?Je kwa nini serikali isiweke watumishi watakaofanya kazi kwa zamu ili muda wote awepo muuguzi wa kuhudumia dharula?
Au watumishi wa afya ni maroboti hawastahili kupumzika?
Kufahamu sakata hili soma:
- Kigoma: Mwanamke adaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza