Kwa nini Waarabu wamepata nguvu kubwa sana ya usuluhishi katika migogoro ya kimataifa?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
48,860
71,112
Waarabu sasa hivi ni wasuluhishi wa migogoro mingi sana duniani.
Wanawapatanisha Marekani na Urusi, Congo na Rwanda, Sudan, Lebanon
20250319_224316.jpg

20250319_224702.jpg
 
Ni kataifa kadogo katajiri duniani, na unajua pesa inaongea, hapo ni pesa inaongea. Kagame na ujanja wake ametulia.
Inawezekana, Kagame na Tshisekedi waligoma kabisa kukutanishwa na yoyote ila wamelainika kwa Qatar!
 
Kwa sababu Waarabu ni Moja ya Jamii chache zilizobaki zenye nguvu Duniani.

Wazungu sasa hivi walishajifia siku nyingi.

Waarabu na Wahindi wameweza kudhibiti na kulinda hadhi ya Familia.

Jamii yoyote ambayo familia inanguvu huwezi ilinganisha na familia zile zinazoruhusu ushoga,Kataa ndoa na jamii za namna hizo
Well said
 
Waarabu sasa hivi ni wasuluhishi wa migogoro mingi sana duniani.
Wanawapatanisha Marekani na Urusi, Congo na Rwanda, Sudan, Lebanon
View attachment 3276786
View attachment 3276787
Huyo mwarab hapo juu akiwa na kina Kagame hana adabu, utakwendaje kwenye mkutano muhimu umevaa sandals bila chupi? Waarab wanashangaza sana, wanashindwa kusaidia ndugu zao Wapalestina wanakwenda kuwapotezea muda Waafrika, ni ujinga uliotukuka. Never take waarab seriously.
 
Oya kwani waarabu wamekufanya nini mbona unawachukia sana😃😀😄
 
Oya kwani waarabu wamekufanya nini mbona unawachukia sana😃😀😄
Siwachuki wajomba zako, nimeuliza swali. Hivi wewe Al-mukheef toka uzaliwe ulishawahi sikia waarab wamesuluhisha chochote hapa duniani, wanashindwa kutatua matatizo ya ndugu zao Wapalestina, Iraq, Libya na Yemen watawezaje haya ya Kiafrika?
 
Ushawahi kusikia chochote kuhusu Algiers Agreement ya mwaka 1975? Algeria alipowapatanisha Iraq na Iran?

Au ceasefire talks kati ya mashetani wa kizayuni na hamas, mazungumzo yanayosimamiwa na Qatar na hata Misri?

Makubaliano ya Amani ya Afghanistan mwaka 2020 yaliyosimamiwa na Qatar?
 
Back
Top Bottom