hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 453
Huwa najiuliza mtu unaingia gharama kubwa, unainvest muda, pesa na hisia. Wengine mpaka wanakosana na majirani na ndugu kisa hii kitu eti ni mali yangu sitaki kushare na mtu.
Wakati kila mtaa unaopita siku hizi unakuta zimepangwa tu zinakodishwa unatumia unaachana nayo hakuna tena mambo ya uchakavu.
YANI ALIYEBUNI BIASHARA YA KUKODISHA BAISKELI APEWE MAUA YAKE,WATU WANAENDESHA TU.