Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,999
- 19,306
Uwanja wa Azam Complex unakidhi viwango vya kuchezewa mechi za kimataifa
Na Simba ni timu ya Dar es Salaam, mashabikk wake wengi wapo mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania bara, nadhangaa kwa nini Simba ikachagua kwenda Zanzibar ambako ni mbali na kugumu kufikiwa na mashabiki wake wengi?
Pia uwanja wa Aman unachukua watu takribani 12,000 tu
Mechi muhimu kama hii kwa nini Simba wanachagua uwanja bila kuzingatia haya?