robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 752
- 1,231
Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi.
Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini rais wa nchi hawezi kusema wazi kwamba wa-TZ hatutaki ushoga? Kuna nini nyuma ya pazia? Hii inashilia nini juu ya tabia na imani ya rais?