Sio kwamba X3-00 haiwezi kabisa ila wao tu huwa wana amua kufanya hivyo
sielewi wana sababu gani binafsi mpaka wanafanya hivi...
.
Mfano
Nokia N73 ina uwezo wa ku run Whatsapp ila hawaja amua iweze kufanya hivyo
.
Sababu wata kuambia ni old phone....... Kitu ambacho haki make sense kwamba ni sababu kuu!
.
Tuje kwenye Asha 200 na Asha 201
.
Asha 201 ina Download Whatsapp tena directly kabisa kutoka kwenye website yao whatsapp
.
Ukija kwenye Asha 200 ina uwezo wa ku run Whatsapp ila kamwe huwezi Download kutoka kwenye website yao mpaka upitie njia za Kihuni!
.
Ila hii Asha 200 Hawaja amua tu nayo eti sababu utasikia ni inatumia two sim card.......
.
Sababu ambayo hai make sense kabisa
.
Ndipo utakuja tena kwenye X2-01 na X2-02
X2-01 ina run Whatsapp lakini X2-02 hai run
.
Sababu wana zijua wao wenyewe
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.