Kwa nini faru ndungai!!??

Nimesikia Leo kwenye media kuwa ndani ya hifadhi ya ngorongoro kuna faru ndungai.
Nimebaki najiuliza:
>Kwa nini wamuite faru ndungai?
>Je, huyu faru ndungai ni jike au dume?
> Au huyo faru naye anahasira za karibu kama Mheshimiwa!!.
Njia ya Serikali kuvuta bunge upande wa serikali kwa kumpetipeti Mr Speaker ili kumziba Masikio, Mdomo, Pua na Macho
 
Labda naye anateka faru wenzake na kuwaficha kisha kuwaachia baada ya muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…