Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema.
Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie makwao hadi pale janga hilo litakapopita na kuisha kabisa kuliko kuendelea kupiga kelele zisizojibiwa kwa vitendo?
Jamani,kumkomoa Magufuli na Serikali yake kuhusu hilo ni washabiki,wakereketwa na wanachama wenu ni kukubali kubaki ndani ili kuonyesha wazi hawakubaliani na serikali kuhusu kuwaacha waendelee kuzurura tu ilhali maisha yao yapo mashakani!
Nawasilisha.
Mungu ibariki tanzania na timu ya yanga.