Habari!
Naitwa Mahmoudy nipo Arusha, mimi ni mtumishi wa uma na kazi nafanyia Arusha, natafuta mchumba wa kiislamu awe na sifa zifuatazo;
Umri 18-22
Elimu kuanzia Form 6 na kuendelea.
Asiwe mweusi sana.
Awe tayari mwakani kuolewa.
Awe mcha Mungu.
Aliye serious aje PM, nipo serious kweli na sio utani, usije kama haupo serious.