matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,739
- 18,735
Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu.
Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya kawaida tena vikifichwa katikati ya usanii, maigizo na ujanjaujanja. Hata walevi na wavutabangi wanajua ni upigaji.
Manabii wa uongo hawaigizi, watafanya mambo makubwa ambayo hata watakatifu watavutiwa na kupotoka.
Tusiwachukulie siriasi sana, maana wanaokuja watafanya na yale yasiyotarajiwa.
Niseme ukweli nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana, miujiza mingi haipo kwa watafutaji wenzetu, nguvu kubwa im3fichwa kwenye ushuhuda badala ya uponyaji.
Saa inakuja
Utashuhudia live mtu anafufuka.
Utashuhudia live kipofu qnaona
Utashuhudia live moto unashuka kama Eliya
Viwete wanatembea
Yesu feki qnashuka kutoka mbinguni.
Kama unababaishwa na hizi rashrasha, mafuriko uabayokuja yatakusomba. Kama umeamua kuwa mcha Mungu jizatiti na Neno zaidi ya Ishara.
Ni hayo tu.
Asubuhi njema