Ipfo mbitoKisa tamaa na ufisadi na ulafi na mengineyo
Hapa kazi tu
Mtazoea kama hamtaki kuzoea ya sasa, basi mtanyooshwa tu.
Hata iweje CCM itaendelea kuongoza, wapinzani mjipange kutekeleza ya wananchi kuliko kupiga udaku. Kama vile kuna uchaguzi kesho. Mtulie mpige kazi, nanyi mna kazi nchini.
Kila analofanya Rais ndio mnadakua kupinga, lini mtakuja na yenu. Mbona mengi yapo nchini ya kupeleka hoja hata bungeni serikali ikasikiliza!?
Mnatia aibu upinzani, bora watu waanzishe vyama vipya viwabwage hukoooo ili mjifunze kwanza.
Badilikeni mnaonekana mmejaa tamaa huku ujuzi hamna kabisa.
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeee
Hahahaha mkuu nakusalimu tu huku napata Gahawa!! siamini kama hiki umeandika wewe!!! teh teh teh kama na nyie akili zimewarudia sijui Magufuli atasimama na nani!!!Moja ya sifa kuu za kiongozi wa taifa nikulinda umoja na amani ya watu wake.
Kiukweli kabisa Mh Magufuli hili tayari limemshinda na sasa taifa kila mtu anasema la kwake. Umoja wetu, mshikamano na amani vipo kwenye mtihani mzito.
Rais hatabiriki wala haeleweki anaitaji nini, amekuwa akitowa matamko ambayo kama taifa nilazima tushituke sasa natukubali funga mikanda turudi kwenye uchaguzi. Bora turudi kwenye uchaguzi au laa tutegemee maumivu makali toka kwa Rais wetu..
Sina uhakika kama usiku wa leo mzee kinana,mkapa,mwinyi,kikwete na mangula wana furaha. Mambo haya yanaendelea sio yakawaida watu wanahofu na wengine wanahisi roho zao zipo mikononi mwa Rais kweli bora turudie uchaguz. Hali ni mbaya sana Raia wana hofu kubwa furaha imetoweka ikiwa amemgusa Nnape who are we?
Nivyema tumpumzishe na tumpe mtu mwingine taifa au vilio vimfikie muumba aje atutete waja wake
Binafsi siamini ninayo yaona nahisi naota.
Si bure, una matatizo kichwani. Yaani hovyooo mpaka inakasirisha!Kisa tamaa na ufisadi na ulafi na mengineyo
Hapa kazi tu
Mtazoea kama hamtaki kuzoea ya sasa, basi mtanyooshwa tu.
Hata iweje CCM itaendelea kuongoza, wapinzani mjipange kutekeleza ya wananchi kuliko kupiga udaku. Kama vile kuna uchaguzi kesho. Mtulie mpige kazi, nanyi mna kazi nchini.
Kila analofanya Rais ndio mnadakua kupinga, lini mtakuja na yenu. Mbona mengi yapo nchini ya kupeleka hoja hata bungeni serikali ikasikiliza!?
Mnatia aibu upinzani, bora watu waanzishe vyama vipya viwabwage hukoooo ili mjifunze kwanza.
Badilikeni mnaonekana mmejaa tamaa huku ujuzi hamna kabisa.
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeee
Mimi sio mpinzani nakama ni mpinzani nisinge hata andika hii thread nadhani haujuwi tulipotoja na uwenda wewe nikipofu.Kisa tamaa na ufisadi na ulafi na mengineyo
Hapa kazi tu
Mtazoea kama hamtaki kuzoea ya sasa, basi mtanyooshwa tu.
Hata iweje CCM itaendelea kuongoza, wapinzani mjipange kutekeleza ya wananchi kuliko kupiga udaku. Kama vile kuna uchaguzi kesho. Mtulie mpige kazi, nanyi mna kazi nchini.
Kila analofanya Rais ndio mnadakua kupinga, lini mtakuja na yenu. Mbona mengi yapo nchini ya kupeleka hoja hata bungeni serikali ikasikiliza!?
Mnatia aibu upinzani, bora watu waanzishe vyama vipya viwabwage hukoooo ili mjifunze kwanza.
Badilikeni mnaonekana mmejaa tamaa huku ujuzi hamna kabisa.
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeee
namkaribisha rufaa ya kichwa domSi bure, una matatizo kichwani. Yaani hovyooo mpaka inakasirisha!