Hii ni takribani mwaka mmoja tokea Selikali ianze kutoa Elimu bure, ni kweli kutoa Elimu bure imekaa vizuri sana kisiasa lakini kiuhalisia in long run tutaona mengi, ngoja tuendelee kuwekeza nguvu kuhamia Dodoma.Matokeo yameonyesha wazi, shule zilizofanya vizuri ni zile za gharama, ambazo wananchi wa kawaiada hawaendi huko.
Shule kama Mzumbe, Ilboru, Msalato, Tabora boys zote hazimo top 10 kitu ambacho nahisi kimechangiwa na ukosefu wa walimu pamoja na ukosefu wa fedha za vitendea kazi.
Serikali kujinasibu kuwa inatoa elimu bure wakati inatoa fedha zisizo kidhi mahitaji ya shule ni kuua elimu na kuwaonea wanyonge ambao hawana fedha za kupeleka watoto wao shule za private.
Tunaomba serikali ituache tuchangie, kunusuru elimu ya walala hoi kwa kuwa serikali imeshindwa kutimiza majukumu yake.
Pia haya ni matokeo ya kubana matumizi wakati walimu mashuleni hawapo. Walimu wamejaa mitaani, shule zimejaa madawati bila walimu, ajabu sana.
Kwa mwendo huu tusitegemee kuona hata ndani ya top 50 shule yoyote ya serikali kama tutaendelea kukimbizana na miradi isiyo na tija kwa mtanzania kama ndege, airport vijijini, maamuzi yasiyo pitiwa na bunge etc.
Sijawahi ona watoto vilaza km hawa wa dar, wizara ya elimu makao makuu yapo dar, maktaba ya taifa ipo dar, rada ya taifa ipo dar, simba na yanga zipo dar, majarida ya nyambari nyangwine yanachapishwa dar, oxford printing press ipo dar, n.k lakini bado wametoa shule *sita bora kwa ubovu*. Isitoshe hata wimbo wa darasa producer anaishi dar bado wanafeli.
Huko mikoa mingine walikofeli wanaongozwa na ukawa? Sikushangai kwani nawe ni Kati ya failures ndio maana upo ccm.Ukawa kuongoza Dsm hoyeee
Matokeo yameonyesha wazi, shule zilizofanya vizuri ni zile za gharama, ambazo wananchi wa kawaiada hawaendi huko.
Shule kama Mzumbe, Ilboru, Msalato, Tabora boys zote hazimo top 10 kitu ambacho nahisi kimechangiwa na ukosefu wa walimu pamoja na ukosefu wa fedha za vitendea kazi.
Serikali kujinasibu kuwa inatoa elimu bure wakati inatoa fedha zisizo kidhi mahitaji ya shule ni kuua elimu na kuwaonea wanyonge ambao hawana fedha za kupeleka watoto wao shule za private.
Tunaomba serikali ituache tuchangie, kunusuru elimu ya walala hoi kwa kuwa serikali imeshindwa kutimiza majukumu yake.
Pia haya ni matokeo ya kubana matumizi wakati walimu mashuleni hawapo. Walimu wamejaa mitaani, shule zimejaa madawati bila walimu, ajabu sana.
Kwa mwendo huu tusitegemee kuona hata ndani ya top 50 shule yoyote ya serikali kama tutaendelea kukimbizana na miradi isiyo na tija kwa mtanzania kama ndege, airport vijijini, maamuzi yasiyo pitiwa na bunge etc.
Na wazazi pia ni tatizo.Pamoja na matatizo ya ukosefu wa waalimu,vitendea kazi ila tatizo kubwa ni wanafunzi wenyewe MTU ANASHINDA KWENYE KUBET,VIGODORO,MAHARUSINI USIKU,MITANDAONI ATAPATA WAPI muda wa kujisomea