Kwa maslahi mapana ya taifa namuunga mkono Godbless Lema katika hili alilosema.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
13,526
30,265
Lema yuko sahihi 100%. Suala la wadudu ni kama laana kwa Arusha na nchi nzima. Wale wadudu wana future yenye giza tupu. Wengi wao walitakiwa wawe masomoni ila ndo hivyo hakuna mwelekeo wowote. Ukitoa kazi ya bodaboda ni ngumu sana MDUDU kufanya kazi nyingine. Bahati mbaya wengi wao wanakufa mno kwa ajali za pikipiki. Mwaka juzi kwenye barabara ya Moshi walikufa wadudu 6 kwa mara moja kwenye ajali mbaya. Tuweke itikadi zetu pembeni na kukataa uwepo wa wadudu.

View: https://www.instagram.com/reel/C9lryofCSkC/?igsh=MXVsZWZtdjY1NmtkYw==
 
Back
Top Bottom