Kwa mara ya kwanza Houthi imeua Muisraeli lakini tunajuta

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
7,535
16,828
Shirika la habari la Saudi Arabia Al-Hadath news Channel linaripoti mashambulizi ya anga kutoka Israel dhidi ya Houthis kwenye bandari yao ya Hodeidah operation outstretched Arm.

Iran ambayo inaunga mkono Houthi inashutumiwa kuigawanya Yemen kwa maslahi yake maovu binafsi.

Msemaji wa zamani wa Houthi spokesman Ali Al Bukhaiti alinukuliwa akisema kwa mara ya kwanza tangu kundi letu la kigaidi Houthi lianzishwe miaka 20 iliyopita, tumefanikiwa kumuua Muisrael mmoja na sasa tunajuta.

Hii ni baada ya bandari yao pendwa ambayo ilikuwa moyo wao kulipuliwa na kusababisha uharibifu mkubwa na kuporomosha uchumi wa Yemen.

Wanajuta kumuua huyo muisrael mmoja tel Aviv kumeleta hasara ya mamilion ya wa Yemen.

Houthi wamesababisha vifo nusu million ya wa Yemen tangu walivyo fanya mapinduzi miaka 20 iliyopita.

Wameleta njaa na displacement ya mamilion wa Yemeni kwa kuipindua Serikali halali ya kijamhuri na taasisi zake zilizoimarika. Sasa wanalipa kwa kumuua mteule mmoja tu.

Msemaji huyo wa zamani wa Houthi ameendelea kutahadharisha licha ya mashambulizi hayo ya Israel ametabiri Israel itaona cha moto.

Kwasababu sasa hivi Houthi iko vizuri local and international na ni tishio kwa usalama wa dunia.

Pona ya Israel sasa hivi kwa muda ni kusimamisha vita Gaza mara moja. Msemaji huyo wa zamani wa Kundi la kigaidi la Houthi alijigamba.

Source: A Saudi news Channel Al-Hadath
 
Shirika la habari la Saudi Arabia Al-Hadath news Channel linaripoti mashambulizi ya anga kutoka Israel dhidi ya Houthis kwenye bandari yao ya Hodeidah operation outstretched Arm...
Houthi sio kundi la kigaidi bali chama cha siasa ila kilishika silaha 2014 baada ya USA na Saudi Arabia kushikilia Mansour abaki madarakani ilhali raia hawampendi.

-Yemeni haijagawanyika,Yemen yote inaikubali Houthi na iko chini ya Houthi.
 
Back
Top Bottom