Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 327
- 1,218
Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli umejidhihiri na Try Again amekimbia kwenye page yake ya insta wiki sasa, mara ameingia Magori anatoa maneno ya kebehi kuwa simba hii haijafanya vibaya, lakini wapi.
Yaani Simba afungwe na Mashujaa halafu Mashujaa afungwe na Coastal? Simba ishindwe kumfunga Ihefu.Simba ishike nafasi ya tatu hadi tarehe hizi za lala salama.
Sasa mambo yote Jumamosi, kudadeki.Kila mwanasimba ameshakata tamaa na akili zao zote ni kuomba mungu idadi ya mabao isiwe kubwa, angalau watupige mawili au matatu, mimi nasema ndani ya dakika 10 tu siku hiyo mkifanya masihara mnaweza kula matano.
Kwanza Benchika pamoja na ukubwa wa jina lake naye anachangia sana kuiumiza simba, ile mechi na ihefu alivyomtoa Chama nikaona humu hamna kocha, Benchika amebakisha jina tu kama Mourinnho lakini hamna kitu.
Jumamosi tukaipe Yanga ubingwa basi.Halafu mlivyokosa aibu hadi leo hata kuachia ngazi mnaona taabu.
Timu haina kinga kwa wachezaji, amebaki Kibu Dennis tu ambaye anaipambania timu kwa nguvu zote.
Eti mkuu wa mambo ni Hassanoo, Hassanoo nani? Kila timu inapoenda yupo Hassanoo na haina mafanikio.Upuuzi mtupu.