MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 278
mimi nahisi nilipata hata laana kwa kumpigania huyu mtukufe na kupinga elimu bure mpaka chuo kikuu na kufuta makato ya bodi ya mikopo. hua najiuliza, hivi kipindi kile nilikua chizi au.Dah. ..leo kwa mara ya kwanza najuta kwanini sikumpa kula huyu mzee..pamoja na yote nakumbuka ahadi yake ya kufuta madeni yangu ya bodi ya mkopo. Magufuli ...this is too much!!!!....ongezeko la mshahara hakuna halafu umepunguza 10,8000/= kwenye mkate wangu. Sio kwamba matajiri waishi kama shetani...maskini ndio tunaishi kama wafu. I am sorry Lowasa. Nakukumbuka Jakaya pia.
umetumwa na kijani uwashawishi watu wasipige kura, ili mkapige peke yenu na mshinde. kalale mbeleMm sipigi kura wakati mshindi namjua
Khaa 15% una lalamika yani n bado tutakata zingine hadi uishi kama zombi
Mchango wa mwenge.......kipindi hiki tutaisoma namba maana kila cku mshahara unazidi kupungua cjui mwezi ujao nn kitapungua tena uuuuuuiiiii