KWA MAHITAJI YA SUB-METER KATA UMEME PITIA HAPA

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,211
4,080
Habari za Muda wakuu, Natumai mpo Salama.

Leo Hii nawaletea Bidhaa mpya kabisa ya Submetter (Kata Umeme), Submetter hizi ni suluhu ya migogoro ya Umeme kwenye nyumba za Kupanga, Maeneo ya Biashara au Majengo Makubwa ambayo kunakuwa na Luku/Mita moja tu kwa watu wengi.

Submetter hizi humpa mtumiaji nafasi ya kununua umeme anaouhitaji yeye na kisha kuweka kwenye mita kuu na baada ya hapo hupata Token ya kuweka kwenye Submetter yake. Na hivyo kila mtu kutumia umeme wake mwenyewe alionunua na kama umeme ukiisha basi hukatika kwa mmoja na kuendelea kuwaka kwa wengine.

Bidhaa hii imekuwa suluhisho kubwa kwa watu mbali mbali jijini dar es salaam na mikoani.

Kwa maelezo zaidi Tafadhali tupigie simu/Whatsapp - 0717016789

Bei ni 130,000 (Bei hii imejumuisha gharama zote kwanzia Ufundi, Usajili, Delivery na After Sales Support)

Tuweze kukupatia elimu zaidi kuhusiana na Huduma hii
Img_2025_03_05_20_33_27.jpeg
Img_2025_03_05_20_33_37.jpeg
Img_2025_03_05_20_35_13.jpeg
 
Video hii Fupi inaelezea namna submetter yetu inavyofanya kazi Tofauti na zile za Zamani

0717016789
 

Attachments

  • Snapinst.app_video_AQM9Y45Z3TyH2tyv4EYtvj_dTePHYUlvG4C8FVSUM69WP073E7VrK62imfEE57uKSL-3Td9t2pi...mp4
    4.8 MB
Weka bei na taarifa zote zilizonyooka.


Kuficha ficha ni dalili ya utapeli
 
Hili tatizo la wajasiriamali wa bongo kutokutaja bei za huduma au bidhaa inabidi sheria itungwe na wachukuliwe hatua kali maana sio kwa kutuchezea akili.
Mkuu nimeweka Bei angalia post vizuri juu.

Bei ni 130,000

Bei hii imejumuisha gharama zote kwanzia Ufundi, Usafiri, Usajili, maelekezo namna ya kutumia na After sales Support
 
Weka bei na taarifa zote zilizonyooka.


Kuficha ficha ni dalili ya utapeli
Mkuu bei nimeweka , Na pia ukiangalia Video niliyo attach hapo juu inajielezea vizuri na mpaka sura zinaonekana. So ondoa shaka, Kama una nyumba za kupanga au fremu au jengo lolote tupigie tushauriane kuhusu bidhaa yetu
 
Sub meter yenu ina utofauti na separate meter? Maana wenye nyumba anakulazimisha ulipie separate meter na haimpi mtumiaji kujiwekea umeme utakao..
 
Sub meter yenu ina utofauti na separate meter? Maana wenye nyumba anakulazimisha ulipie separate meter na haimpi mtumiaji kujiwekea umeme utakao..
Ndio, kila mtu anakuwa anajitegemea. Hakuna janja janja.

Kwa maelezo zaidi naomba nipigie mkuu 0717016789
 
Changamoto ya submeter ni moja. "Inatakiwa ziwe kuanzia 2 kwenye nyumba ya umeme. Ikiwa moja ni kazi bure, aliyeweka ni sawa na hajafanya kitu"
 
Back
Top Bottom