Kwa mahitaji ya bati bora na vifaa vingine vya kuezeka

77billion

Member
Jul 2, 2018
34
21
Sunshare Investment Ltd.

Ni moja ya viwanda na wasambazaji wa mabati bora na vifaa vingine vya kuezeka kwa sasa nchini.

Vifaa hivyo vikiwa ni
__________________________________________
*Bati ya Kawaida/ Mgongo mdogo
Upana ni 90cm na 86cm
Gauge ni 28 na 30 (Ugumu wa bati)
__________________________________________
__________________________________________
*Bati ya Msauzi/ Mgongo Mpana
Aina ni Mbili
1. IT4
Upana ni 81cm
Gauge ni 28 na 30

2. IT5(Upana ni 107cm, 98cm na 87cm)
Upana wa 107cm
Gauge ni 28 tu

Upana wa 98cm
Gauge ni 28 tu

Upana wa 87 cm
Gauge ni 28 na 30
__________________________________________
__________________________________________
Bati La Vigae
Aina ni Mbili, (Roma na Royal Roma)
1. Roma
Upana ni 110cm
Gauge ni 28 tu

2. Royal Roma
Upana ni 110cm
Gauge ni 28 tu
__________________________________________
__________________________________________
Vigae/ Stone Coated/ Roof Tiles
134cm X 42cm X 0.5cm
__________________________________________
__________________________________________
Vifaa Vingine vinavyopatikana ni:
Misumari (Aina zote za bati)
Kofia
Gutter
Valley
Roofing Fan (Kama zile za kwenye Magodown)

Bati linapatikana katika material ya aina tatu:
1. Kawaida (Aina zote za bati)

2. Yenye Mng'ao (Royal Roma, Roma, IT5-107 na IT5-980 Tu)

3.Chengachenga (Hasa RoyalRoma, Roma, IT5-107 na IT5-980 Tu)
__________________________________________
Rangi ni

Green
Blue (Sky Blue na DarkBlue)
Red (Tile Red na Brick Red)
Charcoal Grey
__________________________________________
HAZIPAUKI WALA HAZICHUBUKI
WARRANTY NI MIAKA 15
__________________________________________
BEI ZETU NI TOFAUTI KULINGANA NA AINA, MATERIAL PAMOJA NA GAUGE YA BATI

BEI ZETU NI NAFUU UKULINGANISHA NA UBORA.
VAT zikiwa zimejumuishwa
__________________________________________
KIWANDA KIPO DAR ES SALAAM NA MWANZA.
Kwa Dar Es Salaam ni Karibu na Tazara
__________________________________________
Mawasiliano: PM inaruhusiwa ila sipo active muda wote.

Whatsapp +255 625 559 221
__________________________________________
NB: Bei zinabadilika kila malighafi mapya yanapoingia.
Bei ya mwezi huu haitokuwa sawa na Bei ya Wiki au Mwezi Ujao

IMG_20210615_142940_889.jpg
 
Sawa
Ngoja Waliotumia Bidhaa Zenu Waje Waseme Ubora Iwapo Hayapauki Ama Ni Ujanjaujanja Tu,
 
ukisoma vizur nimesema kuna aina tatu za migongo mipana.
Unataka Upana upi katika Gauge ipi?
Weka picha mkuu na bei, Mimi nataka gauge 30 nipo Mwanza Mjini nipe location ya kiwanda chenu cha Mwanza niende kufanya manunuzi
 
Price List ya 15th/October-2021.

Sasa sio rahis kuaziandika hzo Bei zote hapa
Ndo maan nasema mtu aseme anataka Bei ya Bati gan, iwe ya kawaida, ya chengachenga, ya mg'ao na katika gauge ipi 28 au 30. Ili iwe rahis kumjibu

Bundle ya Bati zenye Gauge 28. Linakuwa na 12 pc
Bundle ya Bati zenye Gauge 30 Linakuwa na 16 pc.

Bei inayotumika ni hiyo. VAT inclusive.
IMG_20211022_082944.jpg
 
Upana wa 87cm
Gauge 28 ni 16,312 kwa mita 1
Gauge 30 ni 13,782 kwa mita 1

__________________________________________
Upana wa 107cm
Bati ya Kawaida ni 19,540 kwa mita 1

Yenye Chengachenga ni 21,594 kwa mita 1 (Rough Surface)

Yenye Mng'ao zaid ni 23,954 kwa mita moja (Bright surface)

__________________________________________

Upana wa 98cm
Bati ya kawaida ni 16,540 kwa mita 1

Rough Surface ni 21,594 kwa mita 1

Bright Surface ni 23,954 kwa mita 1
__________________________________________

98cm na 107cm zinapatikana katika 28G tu

Hiyo Brick Red Ni Upana wa 87cm
Hiyo nyeupe ni Upana wa 107cm
Hiyo Charcoal Grey ni Upana wa 98cm(Rough Surface)
IMG-20211022-WA0000.jpg
IMG_20210615_085058_747.jpg
image-2021-10-22-10-12-182.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom