Habari ndugu,naomba kujua km IC namba BT2025 Na TEA ni equivalent?. Mana kuna kisubwoufer nlikuwa narekebsha kina namba BT2025,sasa nimejarbu kutafuta madukan nakuta tu TEA 2025 Na CD2025.kabla nlijarbu CD 2025 iligoma kufunction.Msaada please ndugu.