Kwa maendeleo haya, wachaga wanastahili pongezi

Mi nawaomba udugu waliokuwa nao na watu wa Cngda waupeleke na Dodoma wakawaamshe wale watu
 
wana upendo pia,unaweza ukampita mama wa kichaga yupo shambani anapalilia nyanya zake,akakupa wewe pole..ie kijana pole na utokako chukua nyanya utafune,pia wazee wa kule ndani ndani huko machame au kibosho ukimpita bila salam anakusimisha na anakwambia wewe mtoto wa nani mbona umepita bila kusalimia..nimesoma huko hayo uliyoyaongea nimeyaona,pia ubarikio kule ni sherehe kubwa sana karibu kila mtoto aliye pata ubatizi/kipaimara anafanyiwa sherehe kubwa tu...tofouti na huku mikoani watoto wakitoka makanisani hakuna cha sherehe wala nini,pia usafiri upo wa uhakika mfano gari za marangu au kibosho umbwe unapata hadi saa mbili za jioni,.seke seke lipo mwezi wa kumi na mbili.n.....
 
Kwa mtu ambaye ha kuzaliwa kilimanjaro hawezi kuishi kamwe. Migombani umande kibao mvua zikinyesha udongo wenyewe wa mfinyanzi ni utelezi tupu. Ardhi yenyewe haitoshi ni shida tupu wala hata Hapana maana yo yote ndoo maana hata wenyewe wamekimbilia maeneo yasiyo kuwa na u manye na yenye mvuto wa kuishi kama mwanza, shy n.k. Poleni kwa kuishi kwenye umande mwingI kama nyani.
 
Wadanganye wasioijitambua. Moshi c lolote . Mambo yote Sukumaland

Dunia ya 4 hawa watu, hawajui kinachoendelea in dis world, bado wanaka-ushamba ushamba flani! Wanatakiwa waje kanda ya ziwa wapewe elimu ya kutosha, otherwise wataendelea kuwa wajinga
 
Hongereni sana wachagga. Hata mimi nina marafiki zangu wachaga hapana hawa watu ni hatari. Ila nimegundua pia wanashikisha sana wake zao katika maendeleo. Wakiwa na business ni ya familia kila mtu anajua kuiendesha. Yaani hadi raha. I wish ....
hao wapo radhi kuu kisa mali,usishangae
 
Kama unachosema kingekuwa ni kweli wasingekuwa wanarudi huko December kula sikukuu.. Mimi nimezaliwa na kukulia Dar lakini wiki iliyopita tu nilikuwa huko kwa mapumziko.. Isikuume sana anzisha uzi wako usifie huko kwenu tutakuja kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…