kwani analipwa mshahara kwa kodi za nani??Bashite ni Mwanasiasa.!!
Hata wasiojua kuandika wanaomba vyeti vya wenzao!!Acheni polojo vyeti kwanza.
Basi waalimu wakuu waloshushwa vyeo kwa sababu ya wanafunzi( wanaojua kusoma na kuandika) kufeli mtihani wa level husika warudishiwe nafasi zao kwasababu walikua wanaanda wanasiasa( wanafunzi wanajua kusoma na kuandika)Bashite ni mtoto mpenzi
Hatari sanaHata wasiojua kuandika wanaomba vyeti vya wenzao!!
teh! teh! Maajabu hayaishi Bongo.
Me nataka kujua tyuu wale waliotumbuliwa Mara ya kwanza karbia watu elfu 18 nafac zao wapo wakina nanii???Watumishi hewa Eluf 17 watu walikuwa wakinufaika kwa kiasi kikubwa sana, huku wakijifanya kutetea haki za wanyonge.
Wenye vyeti feki ni zaidi ya Eluf 12. Hii ni Idadi kubwa sana.
Kwa hali sasa nimeelewa ni kwanini Rais na Serikali yake inapigwa vita sana.
Kumbe wanaomponda Rais si wakeleketwa wa Vyama tu, kumbe kuna hili kundi kubwa nyuma yake.
Natanguliza pole kwa JPM kwa mashambulizi yatayo kupata.
Swali la kujiuliza je;
Kutokukagua vyeti vya wanasiasa ni sahihi??.
Hili liangaliwe upya.