Kwa kuwa viongozi wa chadema wameahidi siasa za mapambano, CCM irudi kwenye siasa za jino kwa jino, nginja nginja, na mapambano

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
16,300
27,490
CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano.

Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara.

Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
 
Shetani katika ubora wako. Watu wakiumia unapata raha gani?
 
Aisee wewe ni mjinga sana! Kwa hiyo raha Yako ni kuona damu za Watanzania wenzio zikimwagika?

Raha Yako ni kuona Watanzania wenzio wananyanyaswa kisa tofauti za kiitikadi?
Alafu mungu alivyo wa ajabu sasa unachokiombea kwa mwenzako Kuna siku utakipata mara2 yake.
 
Mimi sina mambo ya kihuni, hakiwezi kunipata
 
CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano.

Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara.

Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
nginja nginja ya kutumia polisi?
 
Hatuwezi kurudi zama za giza,kumwaga damu na uporaji wa mali za watu. Huwezi kudhalilisha imani ya umma wa wanachama uliokesha jana viwanja vya mlimani City,kwenye mabaa wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa chadema.. hata mabalozi wanaowakilisha nchi zao tanzania na waandishi wa habari.. bajeti zetu tunategemea misaada na uwekezaji
 
Back
Top Bottom