Kwa kuwa Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Tanzania, leo kama ukiwa Waziri wa Kilimo utafanya mambo gani mapya?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,798
Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika.

Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa?

Pia Soma: Leo ukipewa nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira utafanya nini kuongeza Ajira nchini?
ningejizuia kuchukua nafasi hiyo kwa sasa,

kwani waziri Hussein Bashe, Chini ya Rais, Comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wameweka mipango mikakati mbadala, muzuri sana na wanafanya uwekezaji na kutenga fedha ya kutosha sana kuchochea mageuzi katika sekta hii muhimu sana ya kilimo nchini, ili kukuza ajira, uzalishaji wa chakula, malighafi viwandani, uchumi n.k🐒

sitaki tamaa wala kuwa setback factor ya uelekeo huu mzuri na wenye matumaini kwenye sekta ya kilimo ambao serikali tayari imechukiu🐒
 
1.Nitareplace somo la Civis,GS na DS liwe compulsory kila level of education
2.Nitaanzisha mashindano ya kata ya kulima kwa kuwareward mbolea OG zenye ruzuku kwa kuwauzia kwa bei che.
3.Nitaanzisha vituo vya wataalaam wa kilimo kwenye kila wilaya tarafa na kata ili kuwashauri wakulima bure wanapopatwa na changamoto.
4.Vijana wangekoma badala ya kwenda JKT mujibu wa sheria ningewapeleka working camps wasimamizi ni SOJA WA JKT,VETA NA MAAFISA KILIMO wazalishe mazao ambayo yatapelekwa Ghala la taifa kulinda nchi kuingiliwa na janga la njaa
Mengine nitarudi kumalizia
 
Kwa kuwa mkulima ndio anajua changamoto za kilimo basi sintabagua mwenye ekari 1 wala 10 bali wote nitawaambia mpaka kufika mwakani sitaki kuona jembe la mkono mashambani labda kwenye garden tu na manyumbani
Yaani jembe shambani marufuku na wote watapata power tiller na mashamba makubwa sana ni 🚜
Halafu jichanganye uuze tairi
 
ningejizuia kuchukua nafasi hiyo kwa sasa,

kwani waziri Hussein Bashe, Chini ya Rais, Comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wameweka mipango mikakati mbadala, muzuri sana na wanafanya uwekezaji na kutenga fedha ya kutosha sana kuchochea mageuzi katika sekta hii muhimu sana ya kilimo nchini, ili kukuza ajira, uzalishaji wa chakula, malighafi viwandani, uchumi n.k🐒

sitaki tamaa wala kuwa setback factor ya uelekeo huu mzuri na wenye matumaini kwenye sekta ya kilimo ambao serikali tayari imechukiu🐒
Hakuna Wizara imeshindwa kutekeleza Mipango yake kama Wizara hiyo, inaongozwa na mtu anayependa kufanya Sisa kwenye mambo ya Msingi, hakuna hata Moja alilofanya kwenye kilimo.
 
Back
Top Bottom