The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 6,360
- 12,387
NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025.
Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa hawataweza kucheza mchezo huo tajwa,Bodi ya Ligi walikuja na barua hii na kahirisha mechi.
Bila shaka Bodi iliahirisha mechi kutoka na taarifa ya Afisa usalama wa mchezo
Nanukuuu
“Kwasababu Bodi ilipokea pia taarifa ya ofisa Usalama wa mchezo ambayo imeainisha matukio kadhaa….”
Hapa ni dhahiri Bodi iliahirisha mchezo kwa kanuni za usalama,
Hakuna mahali Yanga wala Simba watapata point za mezani wala kushinda kesi kwenye mamlaka yeyote ile.
Soma kanuni ya 34 1.3 iliyotumiwa na Bodi ya Ligi kuahirisha mchezo kama walivyoandika kwa Barua yao.
Case closed.