Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

SweetyCandy

JF-Expert Member
Sep 17, 2022
2,375
4,740
Mpaji Mungu aliniiita geresa ambaye hafai kutambulishwa nyumbani kwa wakwe.
Hii iliniuma sana why ni madharau na ukiangalia sijawahi mlazimisha mtu aje kwangu kwa lazima.

Kilichoniuma zaidi ni mtu wangu wa karibu sana akalike hiyo comment kama kweli alikuwa ananiona mie kitu cha ajabu kwake si angesema . Mie anamakasoro kibao ila sijawahi hata kumwambia. Wala kumsema kwa mtu yeyote ila nilimchukulia kama rafiki, sio mpenzi maana si kumwona kama ni type ile nataka anamengi ambayo ., alinionyesha kuwa mie sio best yake ni ligeresa fulani ila anajiona sana . Ila kiukweli anamadhaifu kiukweli.

Ila mie nimewafichia siri mtu unachart mahali anatisha sana ila husemi , amepauka hana afya upo kimya ila wao wakirudi humu wananisema kama nimelala nao nanichartings.

Humu sijawahi kupenda sana ila matarajio yalikuwepo .
Yakuwa na mtu ila bado sijawahi kumpenda mtu kwa moyo.
 
Mbona kama Fumbo?Funguka mkuu garasa!
 
Haupo sawa ghorofani ningekuwa najua Familia yako ningewapa taarifa wakusaidie kukupa matibabu ya Afya ya akili.

Mwanamke umri ukienda bila kupata decent man na ndoa Anaanza kuwa hopeless

Wewe ndo Unique Flower Ila umefungua I'd mpya bia ile ile Ila chupa tofauti

Unadata mkuu you need therapy
Unajua sijui kama wewe ni dr au mwehu na mnahangaika sana kulazimisha majina ya hovyoo sijakuomba utoe maoni ya kilazima acha ila lazima mtu ajisikie hopeless kama mtu unayemwona anakudhamini kumbe anakuchora tu
 
Back
Top Bottom