Kwa kauli ya Rais Magufuli, mawasiliano ya IGP ya simu na email yanaingiliwa na vyombo vya usalama?

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Wakati wa siku ya kumuapisha mkuu wa Majeshi' Raisi aliongelea suala la madawa ya kulevya . na kusifia IGP kuwa anafahamu watu wengi walimpigia simu kumtahadharisha kuhusu kuitwa wasanii na baadhi ya watu na askari kuhojiwa kuhusu madawa.

Raisi anasema msimamo ulimsaidia IGP lasivyo asingekuwa IGP kama angefuata maelekezo ya watu waliokuwa wakimpigia simu''

je kwa maana hiyo mawasiliano ya IGP yanasikika state house??
 

NDUGU KAMA HUNA KAZI YA KUFANYA BORA TAFUTA KIVULI CHA MTI PATA UPEPO LALA, MENGINE HAYAKUHUSU
 
Ki uasalama lazima walio kuzunguka ujue wanawasiliana na nani na kwa nini, ingawa kutangaza hadharani kuwa una wa hack watu ndo sijamwelewa mtukufu, make inaonyesha hana uvumilivu wa kutunza siri, hayo ni mambo ya siri asingeyatoa hadharani, make atafanya watu washtuke na kutafta plan B.
 
Mawasiliano ya wakuu kufuatiliwa Ni sahihi kabisa, hata Wao wanajua, ila yanatakiwa yaishie kwao huko huko kwa sababu wanaoongea Na simu Na wakuu nao Ni wakuu.
 
Alishakuonyesha masharti yake ya kazi?unadhani anatumia prepaid au postpaid mobile communication? Kama huna hayo majibu huna hoja.
 
La ajabu lipi hapa, mbona kila kinajulikana kua intelligence ya nchi yyt huwa inawafuatilia viongozi wake. Hamna la ajabu hapo.
 
Fikiria katika waliopiga simu, kuna waliokuwa ibirisi kama pale jangwani kwa Yesu akiwa na siku 40 bila bila.

Mangu akaonyesha kwamba yeye ni polisi toka kitambo.
 
Mawasiliano ya wakuu kufuatiliwa Ni sahihi kabisa, hata Wao wanajua, ila yanatakiwa yaishie kwao huko huko kwa sababu wanaoongea Na simu Na wakuu nao Ni wakuu.
Kwa issue hiii lazima.aseme ...no way na bado msubuiri wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…