TheMaster
Member
- Aug 10, 2023
- 36
- 67
Kauli Chonganishi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe kuhusu wananchi wa jimbo la kisesa, Jimbo halali lililo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake ni wananchi halali wa Taifa hili kuwa hatowapekekea pembejeo za kilimo, ni kauli tata, ngumu na isiyovumilika hata kidogo.
Huko nyuma tumepata kuona viongozi na wateule wengi wakiondolewa na kutenguliwa katika nafasi zao kwasababu tu ya kauli na matamshi tata ya aidha kejeli au kashfa na hata masihara katika soga na Hotuba mbalimbali za viongozi.
Tumeshuhudia kilicho muondoa CAG Mstaafu prof. assad ni Kauli ngumu
Tumeshuhudia kilichomuondoa uspika Ndugai ni kauli tata na ngumu
SOMA PIA: Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa
Tumeshuhudia kilichomuondoa uwaziri Nape Nauye ni Kejeli na masihara
Tumeshuhudia kilichomuondoa ukuu wa wilaya wa longido Marko Henry ni kauli tata
Na wengieo wengi.
Lakini kuhusu Bashe amekuwa kama kitindamimba wa Raisi Samia, anaongea anachotaka na anajibu anavyotaka bila kujali hisia na mapokeo ya wananchi.
Hata hivyo Bashe ndie waziri mwenye kashfa kuliko waziri yeyote kwenye baraza la mawaziri la Rais Samia hivi sasa, lakini Hajawahi hata kupewa onyo la hadharani.
Je kwa kauli hii aloitoa kuhusu wananchi wa jimbo la Kisesa, Rais Samia atamchukulia hatua gani??