GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,948
- 119,240
Daah! Hujataka kwenda mbali na ule usemi wa sifa jipe mwenyeweHao wanawake wasi generalise wawalaumu hao waume zao au wanaume wanaokutana nao. Waje wajaribu na pande hizi waone km hawajang'ang'ania
Na bila shaka hawa ni wanawake wa Dar. Maana hawa kwenye mapenzi wanayajua sana, lakini kichwani vumbi kabisa!
Chumvini je
Mama C...." Ndugu mtangazaji hebu wafikishieni hawa Wanaume huu ujumbe kuwa waache kuwa Washamba halafu tukitafuta faraja ya Mapenzi nje wanalalamika. Hivi inaingia akili kweli unakulana Denda na Mwanaume halafu badala aunyonye Ulimi wako yeye anautafuna kama vile anakula Ugali kitu inayopelekea kuumizana "
Na bila shaka hawa ni wanawake wa Dar. Maana hawa kwenye mapenzi wanayajua sana, lakini kichwani vumbi kabisa!