Kwa jinsi Zitto Kabwe alivyoshughulikia Katekwa kwa Abdul Nondo ni kana kwamba bado hajastaafu kuwa Kiongozi wa Chama!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,105
164,495
Uongozi wa ACT Wazalendo umekamilika kuanzia chini hadi juu kabisa

Cha ajabu Zitto Kabwe ameendelea kuwa msemaji mkuu wa Chama

Ngoja niipitie Katiba yao kwanza 🐼
 
ewe chawa wa Lumumba uli taka aongee samaki au??

akati huyo ndo mwana chama mwenye nguvu na ushawishi angalau ana weza kusikika na jamii.
 
Uongozi wa ACT Wazalendo umekamilika kuanzia chini hadi juu kabisa

Cha ajabu Zitto Kabwe ameendelea kuwa msemaji mkuu wa Chama

Ngoja niipitie Katiba yao kwanza 🐼
si ndio script writer na director wa ile scene gentleman?

iweje awe kando 🐒
 
CCM toka lini watu wakastaafu?

Zitto na wewe wote chama kimoja tofauti pekee mwenzio ana fungu kubwa la mapato toka chamani hivyo hana haja ya kuanzisha nyuzi kila kukicha ili apate posho ya uchawa.
 
Machawa wote mnapaswa kuungana ili mkawe ma actress kwenye movie ya Mr pdidy.

Na Kama hamjui actress (upande wa kike).

FB_IMG_17323666689288267.jpg
 
Back
Top Bottom