Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,664
Nimepoteza mtu naye mfahamu leo huko Mwanza na mtumishi ambaye bado tunamuhitaji.
Yote haya kila siku tukizidi kupoteza ndugu zetu na wengine kuwa walemavu wa maisha sababu ya hizi pikipiki.
Serikali hakuna mazingira mazuri ambayo yamempa mwendesha chombo cha pikipiki husasani hawa bodaboda kama mtaji wenu.
Wengi waliokimbilia ajira hii na ugumu wa maisha hakuna mwenye elimu na kuendesha chombo hiki sababu asilimia kubwa hakuna wenye leseni.
Waendesha boda wengi wamejikatia tamaa na wenye uchungu na kutafuta mkate mpaka kufkia kupelekea a jato za vifo na ulemavu.
Bado samia anazidi kuziongeza kwenye kampeni
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Waziri Mchengerwa, leo hii bodaboda wamekuwa “Maafisa Usafirishaji”?