Huna hoja mkuu. Umeelezea mahaba yako. Ungejiuliza Swali la msingi, katika Wabunge 357 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangapi wanatoka upinzani!? Ukipata jibu hapo ndio Ujue kwa nini itakuwa ngumu kutoa hata Naibu Waziri mmoja kwenye awamu ya 5. After all kejeli na dharau dhidi ya Serikali pia inachangia kutopewa kipaumbele kwenye Teuzi nyeti. Tafakari chukua hatua.Wenye busara watakubaliana na hoja yangu lkn wasio na busara watajaribu kupotosha hoja yangu
Hata wewe umekosa hoja mkuu bora ungeongelea katiba yetu mbovu kuwa ndo chanzo mengine yote na wewe umeandika kimahabaHuna hoja mkuu. Umeelezea mahaba yako. Ungejiuliza Swali la msingi, katika Wabunge 357 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangapi wanatoka upinzani!? Ukipata jibu hapo ndio Ujue kwa nini itakuwa ngumu kutoa hata Naibu Waziri mmoja kwenye awamu ya 5. After all kejeli na dharau dhidi ya Serikali pia inachangia kutopewa kipaumbele kwenye Teuzi nyeti. Tafakari chukua hatua.
Hongera sana.Hata wewe umekosa hoja mkuu bora ungeongelea katiba yetu mbovu kuwa ndo chanzo mengine yote na wewe umeandika kimahaba
sijaelewa mkuu. katiba ingekuwa nzuri ingesaidia kuingiza wabunge wachaguliwe wengi wa upinzani au inakuwajeHata wewe umekosa hoja mkuu bora ungeongelea kati yetu mbovu kuwa ndo chanzo mengine yote na wewe umeandika kimahaba
Katiba yetu inasema rais atateua mawaziri kutoka chama chenye wabunge wengi na kuwa na wabunge wengi inamaanisha chama kinachoongoza kwa idadi ya wabunge hata kama mna tofauti ya mbunge mmoja (simple majority) hapo ndipo tatizo lilipo kuwa 40% ya watanzania waliochagua upinzani wanakosa uwakilishi kwenye serikalisijaelewa mkuu. katiba ingekuwa nzuri ingesaidia kuingiza wabunge wachaguliwe wengi wa upinzani au inakuwaje
Amka wewe wapinzani wataambulia Baraza kivuli tu hadi 2050Kwa idadi ya wabunge wa upinzani bungeni sio bisara spika kuwa na maamuzi yote yeye mwenyewe
Pili kwa idadi ya kura wapinzani walizozipata kwenye uchaguzi 2015 pia sio busara kutokuwa
shirikisha wapinzani kwenye serekali mh rais angeweza kuchagua hata wapinzani watatu kwenye baraza lake la mawaziri
Elimu,elimu,elimuHuna hoja mkuu. Umeelezea mahaba yako. Ungejiuliza Swali la msingi, katika Wabunge 357 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangapi wanatoka upinzani!? Ukipata jibu hapo ndio Ujue kwa nini itakuwa ngumu kutoa hata Naibu Waziri mmoja kwenye awamu ya 5. After all kejeli na dharau dhidi ya Serikali pia inachangia kutopewa kipaumbele kwenye Teuzi nyeti. Tafakari chukua hatua.
Chupi imeanza kubana!mliambiwa ikulu bado jielekezeni kupata wabunge wengi,mkaishia kuzungusha mikono.Kwa idadi ya wabunge wa upinzani bungeni sio bisara spika kuwa na maamuzi yote yeye mwenyewe
Pili kwa idadi ya kura wapinzani walizozipata kwenye uchaguzi 2015 pia sio busara kutokuwa
shirikisha wapinzani kwenye serekali mh rais angeweza kuchagua hata wapinzani watatu kwenye baraza lake la mawaziri