Kwa hizi Royalty Pranks zinazoendelea ni ushahidi Tosha hakuna mwanamke mwaminifu

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,839
3,838
Kwema Wataalam !

Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada asee ni balaa.

Ushauri kwa wanaume wenzangu, Kama unataka kuwekeza na kuweka akili yako kwa mwanamke basi hakikisha huyo Mwanamke ni Mwanao au dada yako au basi Mama yako. Watu siku hizi ku cheat wameiona kama fashion. Mnaowekeza kwa wake zenu endeleeni, Nipo hapa kuwacheka mkiugulia matukio.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-04-20-20-38-25-046_com.zhiliaoapp.musically.go.jpg
    Screenshot_2025-04-20-20-38-25-046_com.zhiliaoapp.musically.go.jpg
    218.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_2025-04-20-20-37-55-299_com.zhiliaoapp.musically.go.jpg
    Screenshot_2025-04-20-20-37-55-299_com.zhiliaoapp.musically.go.jpg
    216.1 KB · Views: 1
Kwema Wataalam !

Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada asee ni balaa.

Ushauri kwa wanaume wenzangu, Kama unataka kuwekeza na kuweka akili yako kwa mwanamke basi hakikisha huyo Mwanamke ni Mwanao au dada yako au basi Mama yako. Watu siku hizi ku cheat wameiona kama fashion. Mnaowekeza kwa wake zenu endeleeni, Nipo hapa kuwacheka mkiugulia matukio.
Bro kila mwanamke ana wanaume.
Amekubali kuolewa na wewe kwa sababu umechukua hatua kuliko wenzio
 
Mtoa mada haupo sirious au kwasababu hujaoa? Mbona hakuna jipya kwenye hizo comments, watu wa Dar mnaogopa sana maisha; tokeni huko Dar mrudi mikoani.
 
Mtoa mada haupo sirious au kwasababu hujaoa? Mbona hakuna jipya kwenye hizo comments, watu wa Dar mnaogopa sana maisha; tokeni huko Dar mrudi mikoani.
Nenda ukaangalie royalty test huko Tiktok. Women are very disappointing, sincerely mimi nimeoa ila naona kabisa nini kitakuja kufuata. Watakuambia familia this familia that...Bro acha ufala ukihisi hizi stori ya kubumba. Women are devil's agents working for serpentine.
 
Bro kila mwanamke ana wanaume.
Amekubali kuolewa na wewe kwa sababu umechukua hatua kuliko wenzio
Ni kweli mzee! Kwanini mtu alikubali kuolewa au Kuoa kama kucheat unaona ni jambo la kawaida. Kwanini hukubakia single ? Wengine wapo kwenye ndoa ..2 or 3 decades unaona ni heri uwe na side man au side woman.
 
Back
Top Bottom