Kwa hivi video za michepuko ya Mwijaku bado kampuni zitaendelea kufanya naye kazi

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
2,715
7,767
Mpaka hivi muda huu pasaka inaishia ingekuwa Nchi zinazojielewa kama ulaya na USA mwijaku sahivi angejitokeza kuomba radhi na deals zote za makampuni zingevunja mikataba nae.

Lakini kwakuwa tupo matakoni mwa dunia chawa ananguvu kuliko proffesa itaisha juu kwa juu.

Makelele mengi ya mama anaupiga mwingi kumbe ni linakula vitoto
 
Capitalist world watu wanatazama faida unayoleta.

Tabia zako binafsi hawana habari nazo.

Diamond ana skendo kibao ila anapaga dili kila siku

Mwaka juzi Mwijaku alishavujisha video yupo uchi kitandani na mwanamke Menina ila bado akazidi kupewa madili.

Kampuni zinatazama uwezo wako wa kazi
 
Amini nakuambia mke wa Mwijaku this time lazima akat.mbwe kulipiza kisasi! Malaya wenzangu mchangamkie fursa lazima ato.mbwe!!!!
ovp85u.jpg
 
Back
Top Bottom