Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,028
- 2,606
Wote tumeangalia mechi hii. Baada ya kufungwa goli la 2 mashabiki na viongozi wa waarabu wakaanza vurugu.
Inawezekana ni kweli wamekasirishwa na muda wa goli kufungwa ila kitendo cha kungoa viti na kuanza kufanya vurugu hakikubaliwi na mtu yoyote na kwa namna yoyote ile.
Binafsi nawapongeza mashabiki wa Simba pamoja na walinzi wa uwanja kwa kuwatuliza hao waarabu waliokuwa wanafanya vurugu.
Kongole kwenu wana ubaya ubwela. Haiwezekani mwarabu atoke Tunisia na kuja kungoa viti uwanja wetu alafu tuwachekee.
Hata kama wamekwazwa na muda wa goli, wangetafuta namna nyingine ya kuonesha hisia zao ila sio kungoa viti na kupiga refa huku wanaangaliwa.
Picha zinajieleza kwa kile kilichofanyika uwanjani. Toka tukiwa wadogo tumekuwa tukasikia na kuona malalamiko kwa kile kifanywacho na waarabu dhidi ya Timu zetu.
Leo wamefundishwa na kushikishwa heshima. Watambe kwao na sio kwetu.