Kwa hili nahitaji ushauri

Fazz

JF-Expert Member
Mar 14, 2019
572
1,224
Wasalaam wakuu

JamiiForums ni kama familia ambayo nimeona wengi wakishea matatizo au mazuri yao na hupokea ushaur mbalimbali kutokana na Jambo husika. Na Mimi Kama kijana naombeni ushaur wenu kwa hili

Miaka miwili nyuma baada ya kujiunga na chuo fulani Kuna binti nilimpenda na kwel nikamfata na akafanikiwa kuingia kwenye himaya yangu.Mwanzoni mapenzi yalikua Moto Moto Ila baadae mambo yakaanz kubadilika alianz kutokunijali na samtimes hat nkipiga sim hanipokelei na hapo tulikaa Kama miez miwil nlikua sijala tunda Mimi baadaa ya kuona hivyo nikaamua nitafut mwingin pemben kwel Kuna binti mwingin nilimfata na nikampata huyu tulienda vizuri sana lakin moyo wangu bado ulikua kwa yule mwingine.

Dada huyu wa pili alinipenda sana na alionyesha kunijali kwa moyo wote basi baada ya hapo m nikaanza kumpotezea yule wa mwanzo ingawa bado nliku nampenda sana. Siku moja ilikua birthday ya huyu wa pili nilimpost ila nikamhid yule mpenz wangu wa mwanzo lakini yule dada aliirepost kweny status yake na kwa bahat mbaya hadi yule wa mwanz akaona nilivyopost. Bas hapa ilizuka tafran sana alikuj geto na tuligombana sana na hatimaye tukaachana ingawa bad nlikua namkubl nikaona Bora tu .Baada Kama ya wik moja yule bint wa mwazo alinifata na akaniambia ananipenda na amegundua Hilo kutokana na maumivu anayopitia mi nikakubal hapo tayar wakawa wanajuana.

Siku zilizid kusonga hatima bint wa mwanzo akanitunuku tunda. Kiukweli nilimkuta bado ni bikra. Dada wa miaka 22 . mapenzi yetu watatu yalikua na migogoro sana kutokana na kuwachanganya binti wa pili alikua bado ananijali kutokan na hal yangu kiuchum kuwa mbaya bado alionyesha kunijali na kukubaliana na hal na pengine kunisaidia hata kipesa .

Mambo yaliendelea ila huyu wa pil bado hakua sana moyoni Kama wa mwanzo hapo nikaamua ili kuepusha migogor ya mara kwa mara nimwambie ukweli kua Kila mtu afate maisha yak .

Miez Kama miwil nyuma nilianza kumwonyesh Kila dalili za kubreak nae nilikua sipoke cm cimjib text Wala sirespond chochote kwake. Ghafla nikiwa kweny hizo process akapat msiba wa baba ake ikabidi nianz kufarij na kumpt pet Kama mwez mmoja hivi baada ya hapo nikarudish tena Nia ya kubreak nae ingawa ana mitihan tarehe 9 /02 ikabidi nimchane tu ukwel coz hata akipigaga cm naonaga Kama kero .

Tokea wiki iliyopita niliamua ku muv on baada ya kuambiana kiukweli hajawahi kunikosea chochote na alikua ananickiliz na kunitii tofauti na huyu wa pili lakin tatizo hayupo moyoni kabisa .Ananitext kwamba namuumiza sana na nilichofanya sio fare coz yupo kweny kipind kigum na yupo karibia na mitihan .Rafiki ake nae kanipigia sim kwamb binti hayupo poa kabisa anaumwa sijui Nini

Sasa ndugu zangu mi nipo njia panda kwa kwel sijui hata nimsaidieje. sijui nimwache aendelee kuteseka au niendelee kumpretendia hasa kipind hik cha mitihani. nipo njia panda. Ushauri wenu wakuu
 
ushauri wangu ni huu, upo hapo chuo kwa ajili ya kusoma wewe na "hivyo vyezio",msisahau kilichowapeleka!!pili,wewe kijana huna kitu mpaka mwanamke anakusaidia,anakuhudumia,kama hakua moyoni tangu mwanzo kwa nini ulikua ukipokea pesa zake?wote mpo chuo yeye anazitoa wapi ushawahi kuhoji??kama hadangi basi kwa baba yake ambae kwa sasa amefariki atazipata wapi za kukuhonga wewe?? mwisho akili kichwani mwako mapenzi hayashauriki
 
Hii iliwah nikuta yaan unakuta msichana anakupenda sn ww huna time nae apo pretend mjomba upo kwenye paper tena ikiwezekana mpe support mwanzo mwisho ata akija akijua kwamba ulipretend ili kusave maisha yke atakupenda zaid na zaid
 
Kijana tuliza akili umalize chuo,

Hao wanawake inawezekana hawakupendi wote, sisi wanawake tunapenda competition sisi kwa sisi...ndio maana tukifumania mume katembea na mwanamke bifu ni la huyo mwenye mke, na huyo mwanamke aliyefumaniwa, katu ugomvi sio wa mwanaume,


inawezekana kujua kuwa kuna mwanamke pembeni kumewa motivate to fight,kuingia kwenye competition, WABWAGE wote waambie uko busy na mitihani na chuo hufikirii kuoa au kuwa na mwanamke kwa sasa.....kijana soma maisha sio lelemama
 
hata kama ni bikra mi sikushauri. Mpende akupendae mana maisha ya kufosi mapenzi kwa bikra wako yatakukosti mbelenni
 
Back
Top Bottom