Kwa Hii Kero, Bora Nihamie Mtaa Mwingine.

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,622
4,138
WASH'KAJI EEEEEEEH!

HIVI HAPA MIYE NITAFUTE SULUHISHO GANI??
____
HUKU KITAA CHA MAPINGA,
NJIA PANDA YA VIKAWE,
KARIBU NA HILI DUKA KUBWA LA HARDWARE,
KABLA HUJAVUKA HAPA KWENYE KIWANDA KIDOGO CHA KUFYATUA TOFALI,
AMBAPO KWA NYUMA YAKE ND'O NIMEPANGA CHUMBA KIMOJA,
NAONA KAMA WAMEANZA KUNILETEA FIGISUFIGISU WAKATI HATA MIEZI MIWILI SIJAMALIZA.
_______
HAPA KITAA KUNA MAJIRANI ZANGU WATATU,
AMBAO NI AKINA DADA WA UMRI WA MAKAMO TU,
YAANI MIAKA 20s.

HAWA AKINA DADA MMOJA WAO NI MWANASHERIA WA KAMPUNI 1 YENYE HESHIMA KUBWA SANA,
MWINGINE NI MFANYA_BIASHARA WA NGUO,
ANAMILIKI MADUKA KAMA 5 HIVI HAPA TOWN YA NGUO ZA KIKE
NA HUWA ANAFUATA MZIGO WA NGUO THAILAND MARA MBILI KILA MWEZI,
NA
MWINGINE NI CHIEF_IT_OFFICER WA BENKI FLANI KUBWA SANA HAPAHAPA NCHINI.
___
SASA HAWA WADADA WAMENIZOEA GHAFLA SANA KUTOKANA NA BIASHARA YANGU YA KUUZA Pilipili_Mbuzi NA Nyanya_Chungu KWA BEI YA REJAREJA HAPA KITAA,
HIVYO KILA SIKU WANAWEKA ODA ASUBUHI NA JIONI!
__
SASA KILICHONISHANGAZA NI YULE DADA WA KWANZA MWANASHERIA MWENYE MWONEKANO KAMA WA YULE @Rah_P_Wa_Hayakuhusu ALIVYONIAMBIA,
"Excuse me seneta,
miye napenda uwe wavaa pensi kama hivi Kila Siku unapokuja hapa,
Coz your legs look very swagficient .....
For sure."

MIYE SIKUJALI SANA,
NIKATABASAM'.
NIKAENDELEA KWENDA KUUZA Nyanya_Chungu KWA YULE DADA WA PILI MFANYA_BIASHARA MWENYE FIGA KAMA YA @Shamsa_Ford NA LIPS KAMA ZA @Mainda_Wa_Kaole,
NIKIWA NAONDOKA BAADA YA KUMUUZIA ZILE Pilipili_Mbuzi,
AKANIITA
NA KUNIULIZA,
"Hellow
@Seneta_Wa_Mtwiz,
Hivi hiyo timberland matata ya ndevu zako huwa wa_shave Salon gani?
Maana'ke Daaaaaaah!
I fail to have a word to utter.
Yaani hizo ndevu zakufanya uwe na mwonekano wa matata Kishababi when you're shaven.
I wish my man could have beards of that kind-
Truly speaking."

NIKA_TAKE EASY,
NIKASEPA NA TENGA LANGU LA Pilipili_Mbuzi KICHWANI!
NIKAENDA NYUMBA YA TATU KWA YULE DADA IT_Officer AMBAYE NI KAMA MAPACHA NA @Jackline_Wolper,
NIMEMPA Pilipili ZA BUKU,
WAKATI NAPOKEA HELA,
GHAFLA AKASHTUKA,
AKASEMA,
"Mmmmmmmmmmh!
seneta,
Hivi ulisema watokea Mtwara vile??"

NIKAITIKIA KWA KICHWA,
AKIWA KANISHIKA MKONO,
AKASEMA,
"So wanaume Wote wa Mtwara wana vidole kama vya kwako au??
You've got very unique fingers.
Pia you have a very peculiar & impressive voice.
I am really fond of how you speak!!!"

NIKASEMA "AHSANTE,"
KISHA NIKAYAACHA MAENEO.
______
SASA
BAADA YA KUFANYA UCHUNGUZI WANGU WA KIINTELIJENSIA,
KIBAIOLOJIA,
KEMIA NA
FIZIKIA,
NIKABAINI KUWA HAWA AKINA DADA WANA MIMBA,
MMOJA YA MIEZI 2½,
MWINGINE MITATU,
NA MWINGINE 3½.

HALAFU NI KAMA MAPACHA,
MAANA'KE WOTE NDINGA ZAO NI @Nissan_X_TRAIL,
TOFAUTI NI RANGI TU.
NA
WAUME ZAO MMOJA ANAISHI @Australia,
WAWILI canada
NA
HUWA WANAKUJA BONGO MARA 1 TU KWA MWAKA,
AU WAO WANAWAFUATA HUKOHUKO UGHAIBUNI!

SASA IMEFIKIA EXTENT WANANIPIGIA SIMU EVERY NOW AND THEN ZA KUWEKA ODA ZA Pilipili_Mbuzi
NA Nyanya_Chungu,

______
CHANGAMOTO ZAIDI,
HATA TUKISHAELEWANA KUHUSU ODA ZAO WANATAKA TUENDELEE KUZUNGUMZA TU,

MARA OOOOOOOH!
"seneta nifundishe Kimakonde ....."

"Naomba uje uonje Pilipili Zako nimepika samaki ..."

"Nikisharudi toka kazini
seneta Njoo tucheck Movie ya John_Q."

YAANI BLAAH_BLAAH NYINGI!
YAANI SOMETIMES NIMELALA USIKU WA MANANE,
SIMU ZAO ZINAINGIA,

NIKIPOKEA NA KUULIZA LENGO.
UTASIKIA,
"Sorry seneta,
Just Wishing You a Marvelous Sleep."

***************
SASA WASH'KAJI NAJIULIUZA HIVI,

HAWA NIA YAO NI NINI??
AU
KUFANYA BIASHARA NA WATU WENYE MIMBA NI KERO KIASI HIKI??

KAMA KUNA ANAYEJUA CHUMBA KINACHOPANGISHWA MTAA MWINGINE KWA BEI YA 9,500/= KWA MWRZI
TUJUZANE FASTA ILI NIHAME TU HUU MTAA.
******************
 
Aha ha haaaa! we jamaa huwa napenda sana story zako na staili yako ya uandishi huwa haimchoshi msomaji, kuhusu hao wadada mimi ningepiga wote watatu na mvua hizi za Dar...!
 
Hahahahahaaa njoo huku kwetu manzese kipo chumba cha buku tano,,
Ila sasa wateja wa mtaani kwetu huwa tunanunua Nyanya chungu za mia au fifty
A r ready
 
Story zako zote zime base 'zali la mentali'

labda ungeacha hiyo fantasy uweze jipima kipaji cha utunzi wa hadithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…