Kwa Heche humuoni Tundu Lissu, tofauti ni kubwa. Siioni Chadema ya Lissu/Heche ikidumu

WOWOWO

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
599
455
Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla ya Heche kuna mambo kadhaa yanahitaji jicho na fikra tunduizi.

Mosi, ukimsikiliza Heche, mbali na mfanano wa mpayuko wa sauti na ukali wa toni na mgombea anayemuunga mkono kwa uenyekiti TAL, kidogo kwa Heche unaona uendelevu na utetezi wa taasisi. Kwanza, anakiri kwamba, TAL anakosa umakinj wa nini, wakati gani na wapi aseme. Pili; tofauti na mwenzake TAL ambaye amechagua kubagaza “mchungaji” wa muda mrefu wa taasisi na taasisi yenyewe, Heche ana elements za “mjenzi”, kasema wazi yeye anamheshimu sana kwa mchango mkubwa na malezi kwa watu na demokrasia ya kujenga upinzani. Kasema ni “mjinga” tu anaweza kumbagaza. Heche anatilia maanani institutionalized mechanism za chama chake. Anakiri hapa anatofautiana naye. This is very significant kwa wao kuwa na upacha kwenye uongozi lakini pia kuiweka pamoja taasisi baada ya uchaguzi wake.

Pili, ukimsikiliza Heche, haoneshi sana kumwona mgombea wa uenyekiti FAM asiyemuunga mkono kuwa ni dhaifu na asiye na maono. Ila anasema atamshinda kwenye uchaguzi. Hapa unakosa muunganisho wa yeye kumuunga mkono moja kwa moja TAL given the facts kwamba kaonesha udhaifu wa Lissu na wakati huohuo kukacha kumkosoa FAM huku akimsifia.

This tells one thing. Anaenda tu na upepo zaidi wa misukumo ya nje ya chama kuliko ndani. Anajaribu tu kuridhisha “wanaharakati” wasio wanachama ambao wanataka kupanga safu kwenye taasisi wasiyokuwemo na kamwe hawaishiriki hata katika shughuli zake. Hii inaeleza kile niliwahi kuandika cha kujisalimisha kwenye mikono ya “wanaharakati kupitia spaces na shughuli zake” na kujikuta unakuwa mateka wa uanaharakati na “wanaharakati” badala ya siasa, uanasiasa na watu. Ingawa hakumgusa sana Wenje, angeazima busara yake ya kumaintain neutrality na kuweka wazi utayari wa kufanya kazi na mwenyekiti yeyote. Wenje aliliweka wazi, hakusubiri hadi liulizwe na waandishi.

Hili linanipeleka kwenye jambo la tatu na zito. Ukimfuatilia TAL na Heche ukatazama mjadala mitandaoni. Utaona ni ushindi wa “watu ambao muda wote ni wakosoaji wa Chadema lakini si wanachama na hawajawahi kuipenda Chadema. Nadiriki kusema, hata sifa za Heche kwa FAM moyoni zinawauma. Uungwaji mkono wa kundi hili ambalo si active chamani na hata politically in movements halionekani zaidi ya kwenye keyboards na maofisini na shughuli zao inapaswa kuwa kengele. Kile cha agenda pana wanayoiimba ya “no reforms no election” inayopambizwa na radical image ya Heche na TAL kikiwekwa na “waungwaji mkono wanaharakati wasio active” majukwaani na wasio na road movements itabaki kuwa ndoto.

Jambo la nne, la kuangalia ni jozi (package ya TAL na Heche) kuwa pamoja. Kisiasa inashangaza chama kisicho na ugombea mwenza, wagombea kujiweka kipacha. Inaleta ukakasi kwa hatma ya chama kama mmoja akishindwa, mwingine akashinda. Lojiki yake inakataa. Pengine ni mkakati wa kuziba matobo na kumwongezea possibility TAL. Au ni namna ya “tutoke vipi” baadaye.

Hata hivyo, with all the scenarios, both Heche na TAL wanakosa diplomacy mix. Kwa zaidi kabisa kuna tatizo la busara, utulivu, uhimilivu, ustahimilivu na taswira kubwa zaidi ya karama za uongozi. Wanakosa institutional collectivism na mara nyingi hubebwa na upepo wa mambo kila wakati bila kujali political positions za chama chao lakini pia implications katika personal career na ya taasisi pia. Katika siasa, silence, rarity au scarcity ni silaha. Hapa FAM ni master class na naweza sema ni nguzo kuu ya kudumu katika siasa akidumisha relevance katika siasa for such long time.

Jambo la mwisho, ni suala la uungwaji mkono wa nje na watu ambao kihistoria huwa hawaoni jema la CHADEMA na mwenyekiti wake FAM. Ukimsikiliza Heche anabeba kweli upendo kwa taasisi anaitetea. Ukimsikiliza TAL ni tofauti kidogo. Mbaya zaidi haamini na kuheshimu institutions na organs zake. Kashazishutumu zote. Kwake hazifai. Hili kwa Heche halijaoekana, japo hakuiona kama tofauti yake na TAL. Furaha yote ya waungaji mkono wa TAL (kama akina Maria Sarungi) iko hapa zaidi kuliko kazi zake za kuibagaza serikali au CCM. Vijana ambao wako mikononi mwa Maria Sarungi wakijiita CHADEMA hua amplify zaidi mibagazo ya CHADEMA na makada wake. Hii huungwa mkono na vijana wa ACT Wazalendo ambao nao wanaona fimbo ya kumsaidia ZZK imepatikana japo kwa sasa. Ni afadhali kwamba sioni ule ukaribu wa Catherine Ruge (BAWACHA yake) na Maria Sarungi. Simulizi ingekuwa tofauti.

End read..for now…
 
Hili linanipeleka kwenye jambo la tatu na zito. Ukimfuatilia TAL na Heche ukatazama mjadala mitandaoni. Utaona ni ushindi wa “watu ambao muda wote ni wakosoaji wa Chadema lakini si wanachama na hawajawahi kuipenda Chadema. Nadiriki kusema, hata sifa za Heche kwa FAM moyoni zinawauma. Uungwaji mkono wa kundi hili ambalo si active chamani na hata politically in movements halionekani zaidi ya kwenye keyboards na maofisini na shughuli zao inapaswa kuwa kengele. Kile cha agenda pana wanayoiimba ya “no elections no reforms” inayopambizwa na radical image ya Heche na TAL kikiwekwa na “waungwaji mkono wanaharakati wasio active” majukwaani na wasio na road movements itabaki kuwa ndoto.

Jambo la nne, la kuangalia ni jozi (package ya TAL na Heche) kuwa pamoja. Kisiasa inashangaza chama kisicho na ugombea mwenza, wagombea kujiweka kipacha. Inaleta ukakasi kwa hatma ya chama kama mmoja akishindwa, mwingine akashinda. Lojiki yake inakataa. Pengine ni mkakati wa kuziba matobo na kumwongezea possibility TAL. Au ni namna ya “tutoke vipi” baadaye.

Hata hivyo, with all the scenarios, both Heche na TAL wanakosa diplomacy mix. Kwa zaidi kabisa kuna tatizo la busara, utulivu, uhimilivu, ustahimilivu na taswira kubwa zaidi ya karama za uongozi. Wanakosa institutional collectivism na mara nyingi hubebwa na upepo wa mambo kila wakati bila kujali political positions za chama chao lakini pia implications katika personal career na ya taasisi pia. Katika siasa, silence, rarity au scarcity ni silaha. Hapa FAM ni master class na naweza sema ni nguzo kuu ya kudumu katika siasa akidumisha relevance katika siasa for such long time.

Jambo la mwisho, ni suala la uungwaji mkono wa nje na watu ambao kihistoria huwa hawaoni jema la CHADEMA na mwenyekiti wake FAM. Ukimsikiliza Heche anabeba kweli upendo kwa taasisi anaitetea. Ukimsikiliza TAL ni tofauti kidogo. Mbaya zaidi haamini na kuheshimu institutions na organs zake. Kashazishutumu zote. Kwake hazifai. Hili kwa Heche halijaoekana, japo hakuiona kama tofauti yake na TAL. Furaha yote ya waungaji mkono wa TAL (kama akina Maria Sarungi) iko hapa zaidi kuliko kazi zake za kuibagaza serikali au CCM. Vijana ambao wako mikononi mwa Maria Sarungi wakijiita CHADEMA hua amplify zaidi mibagazo ya CHADEMA na makada wake. Hii huungwa mkono na vijana wa ACT Wazalendo ambao nao wanaona fimbo ya kumsaidia ZZK imepatikana japo kwa sasa. Ni afadhali kwamba sioni ule ukaribu wa Catherine Ruge (BAWACHA yake) na Maria Sarungi. Simulizi ingekuwa tofauti.

End read..for now…
Tunsubiri nyuzi nyingine nyingi kama hz lkn sasa ni wkt wa mbowe kupumzika
 
Mkuu umeona kwa busara sana

JH ni kijana wa FAM na sidhan kama yupo upande wa TL kama wanaharakati wanavyofurahia..

John Heche ameanzia siasa zake CDM tofaut na hao wahamiaji wa TLP.

Siasa za Chadema hazina mgombea mwenza... Hizo ni bla bla za wanaharakat wasioipenda CDM kama unavyosema.

TL amepoteza... ni Heche na FAM.

After 5 years JH ni Chairman..

Hii ni very calculated political move....

Wajanja wanaona ni compromise strategy muone hatujakosa vyote... Ila ukwel JH ni mkakati.

Nimependa spirit yake kuijenga CDM
 
Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla ya Heche kuna mambo kadhaa yanahitaji jicho na fikra tunduizi.

Mosi, ukimsikiliza Heche, mbali na mfanano wa mpayuko wa sauti na ukali wa toni na mgombea anayemuunga mkono kwa uenyekiti TAL, kidogo kwa Heche unaona uendelevu na utetezi wa taasisi. Kwanza, anakiri kwamba, TAL anakosa umakinj wa nini, wakati gani na wapi aseme. Pili; tofauti na mwenzake TAL ambaye amechagua kubagaza “mchungaji” wa muda mrefu wa taasisi na taasisi yenyewe, Heche ana elements za “mjenzi”, kasema wazi yeye anamheshimu sana kwa mchango mkubwa na malezi kwa watu na demokrasia ya kujenga upinzani. Kasema ni “mjinga” tu anaweza kumbagaza. Heche anatilia maanani institutionalized mechanism za chama chake. Anakiri hapa anatofautiana naye. This is very significant kwa wao kuwa na upacha kwenye uongozi lakini pia kuiweka pamoja taasisi baada ya uchaguzi wake.

Pili, ukimsikiliza Heche, haoneshi sana kumwona mgombea wa uenyekiti FAM asiyemuunga mkono kuwa ni dhaifu na asiye na maono. Ila anasema atamshinda kwenye uchaguzi. Hapa unakosa muunganisho wa yeye kumuunga mkono moja kwa moja TAL given the facts kwamba kaonesha udhaifu wa Lissu na wakati huohuo kukacha kumkosoa FAM huku akimsifia.

This tells one thing. Anaenda tu na upepo zaidi wa misukumo ya nje ya chama kuliko ndani. Anajaribu tu kuridhisha “wanaharakati” wasio wanachama ambao wanataka kupanga safu kwenye taasisi wasiyokuwemo na kamwe hawaishiriki hata katika shughuli zake. Hii inaeleza kile niliwahi kuandika cha kujisalimisha kwenye mikono ya “wanaharakati kupitia spaces na shughuli zake” na kujikuta unakuwa mateka wa uanaharakati na “wanaharakati” badala ya siasa, uanasiasa na watu. Ingawa hakumgusa sana Wenje, angeazima busara yake ya kumaintain neutrality na kuweka wazi utayari wa kufanya kazi na mwenyekiti yeyote. Wenje aliliweka wazi, hakusubiri hadi liulizwe na waandishi.

Hili linanipeleka kwenye jambo la tatu na zito. Ukimfuatilia TAL na Heche ukatazama mjadala mitandaoni. Utaona ni ushindi wa “watu ambao muda wote ni wakosoaji wa Chadema lakini si wanachama na hawajawahi kuipenda Chadema. Nadiriki kusema, hata sifa za Heche kwa FAM moyoni zinawauma. Uungwaji mkono wa kundi hili ambalo si active chamani na hata politically in movements halionekani zaidi ya kwenye keyboards na maofisini na shughuli zao inapaswa kuwa kengele. Kile cha agenda pana wanayoiimba ya “no reforms no election” inayopambizwa na radical image ya Heche na TAL kikiwekwa na “waungwaji mkono wanaharakati wasio active” majukwaani na wasio na road movements itabaki kuwa ndoto.

Jambo la nne, la kuangalia ni jozi (package ya TAL na Heche) kuwa pamoja. Kisiasa inashangaza chama kisicho na ugombea mwenza, wagombea kujiweka kipacha. Inaleta ukakasi kwa hatma ya chama kama mmoja akishindwa, mwingine akashinda. Lojiki yake inakataa. Pengine ni mkakati wa kuziba matobo na kumwongezea possibility TAL. Au ni namna ya “tutoke vipi” baadaye.

Hata hivyo, with all the scenarios, both Heche na TAL wanakosa diplomacy mix. Kwa zaidi kabisa kuna tatizo la busara, utulivu, uhimilivu, ustahimilivu na taswira kubwa zaidi ya karama za uongozi. Wanakosa institutional collectivism na mara nyingi hubebwa na upepo wa mambo kila wakati bila kujali political positions za chama chao lakini pia implications katika personal career na ya taasisi pia. Katika siasa, silence, rarity au scarcity ni silaha. Hapa FAM ni master class na naweza sema ni nguzo kuu ya kudumu katika siasa akidumisha relevance katika siasa for such long time.

Jambo la mwisho, ni suala la uungwaji mkono wa nje na watu ambao kihistoria huwa hawaoni jema la CHADEMA na mwenyekiti wake FAM. Ukimsikiliza Heche anabeba kweli upendo kwa taasisi anaitetea. Ukimsikiliza TAL ni tofauti kidogo. Mbaya zaidi haamini na kuheshimu institutions na organs zake. Kashazishutumu zote. Kwake hazifai. Hili kwa Heche halijaoekana, japo hakuiona kama tofauti yake na TAL. Furaha yote ya waungaji mkono wa TAL (kama akina Maria Sarungi) iko hapa zaidi kuliko kazi zake za kuibagaza serikali au CCM. Vijana ambao wako mikononi mwa Maria Sarungi wakijiita CHADEMA hua amplify zaidi mibagazo ya CHADEMA na makada wake. Hii huungwa mkono na vijana wa ACT Wazalendo ambao nao wanaona fimbo ya kumsaidia ZZK imepatikana japo kwa sasa. Ni afadhali kwamba sioni ule ukaribu wa Catherine Ruge (BAWACHA yake) na Maria Sarungi. Simulizi ingekuwa tofauti.

End read..for now…
Wewe umekosa hoja kabisa mfano Tlahtlah,Lucas Mwashambwa na Choicevariable wanamuunga Mbowe kwa damu na upendo wa njiwa je ni wafuasi wa CHADEMA hao??
 
Daah cjaelewa
 
Umefanya uchambuzi vizuri.Lisu hatufai anatembea na tiketi mkononi
 
Back
Top Bottom