Mbowe alifanya maridhiano, ruzuku inapatikana na chama kikaendelea kujitangaza. Lakini Lissu na watu wake wanamuita msaliti na mnafiki.
Leo humu Jamiiforums kunapita thread ya kumpongeza Lissu kwa mara ya kwanza ruzuku ya chama imepita kwenye akaunti ya chama. Mimi nilitegemea, kwa kuwa Lissu hayatambui yale maridhiano ya Mbowe yaliyozaa ruzuku, basi aikatae.
Kwa kuwa Lissu hawatambui Covid-19, ambayo ndiyo sababu ya ruzuku, ilibidi iwe haramu kwenye akaunti ya CHADEMA ya Lissu.
Kwa kuwa Lissu ule uchaguzi uliozaa hiyo ruzuku hautambui, sasa iweje aikubali ruzuku hali ya kuwa uchaguzi wala maridhiano havitambui?
Kwa hali hii, kweli Lissu ana msimamo?