Kwa hali hii Afrika kuja kujitegemea ni ngumu sana

Codehood

JF-Expert Member
Dec 9, 2021
341
771
Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola)

Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni
lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu (pesa) yake hivyo inabidi watafute dola kutoka Marekani

Na ili wapate hiyo dola lazima wakubali sharti la kulima mazao ya biashara yatakayo safirishwa kwenda Marekani na Ulaya.

Namba moja, Deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) hivyo tunaweza kujichapishia sarafu zetu (pesa) Ili kulipa deni lakini deni la Afrika halipo katika sarafu (pesa) yake kwahiyo inabidi watafute dola kutoka Marekani kwa kuwauzia mazao ya biashara tu"

Je, Profesa Michael Hudson Yuko sahihi?

 
Tofauti Kati ya nyani na sisi binadam wa Africa.. Nadhani nikuongea tu... Mengine tunafanana kwa 99.9% 🤒🤒🤒
 
Kwahiyo tukiendelea kulima mazao ya chakula tutakuwa kwenye hatari ya kukutana na vikwazo huko mbeleni...!!!! Aiseee
 
Back
Top Bottom