Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,377
- 3,398
Wanasema wataandamana! Kwani wameanza Leo ? Chadema ipi ambayo tukae tunazozana tangia majuzi Chadema hii ya Mbowe, Mnyika na Lissu? Labda kama ipo nyingine. Kwani wameanza Leo kuandamana ? Nini kilitokea katika maandamano yao zaidi walijikuta wako 50 tu na watu wanawaona kama vichaka! Kwanini serikali inawapa tension watu ambao hawana madhara yoyote?
Hao hatakuwajibu lilikuwa ni kosa kubwa, unawajibuje watu ambao hata wakiandamana hawatakuwa na madhara yoyote. Hao CHADEMA hata wakiachwa waandamane bila hata ulinzi wa polisi hawana jipya lolote ! Chadema hii ni maiti iliyokufa inaishi kwa upepo wa mochwari !
Kwanini mnawafanya watrendi ? Wana nini Cha kufanya zaidi ya mikwara ya mbowe na lissu? Chadema iliyokuwa tishio ni ile ya 2010 na 2015 siyo hii ya sasa !!
Siku nyingine msirudie kuwajibu watu wasio na impact yoyote mnawapa airtime ya Bure na kuwafanya kuzungumziwa na mataifa mbalimbali msirudie kosa Hilo