mbowe anasema halijawahi kujadiliwa kwenye kamati ya uongozi hivyo haamini kama ni ndungai.Habari wana bodi,
Hivi sasa kuna malalamiko mengi juu ya mabadiliko ya utaratibu wa shughuli za Bunge kuoneshwa live. Mimi kinachonishangaza ni baadhi ya watu hata Wabunge wenyewe wanaolalamikia jambo hili kutokujua ni nani anastahili kuulizwa na kulalamikiwa.
Mimi ninavyofahamu ni Bunge lenyewe ndilo limebadili mfumo wa matangazo yake kurushwa. Bunge limeanzisha Studio yake ambapo ndipo vyombo vingine vitakapokuwa vikichukulia matangazo, kwa TV na Radio. Waandishi wamagazeti wao haina shida.
Sasa kwa nini watu wanalia na JPM? Bunge si taasisi inayojitegemea?
Mbowe muulize Ndugai akupe majibu. JPM ana mamlaka na TBC, aliyezuia vyombo vingine kuingiza mitambo Bungeni ni Bunge.
Kwa tabia ambayo ilikua ikifanywa na, baadhi ya wabunge vijana bungeni kuzuwia, kurusha live ni jambo jema tena haki vema na, vizuri daimaWaliosababisha ni Ndugu Ngai na Nepi na Unyele..
wahusika wote wanaojaribu kuzuia hili ni wapuuzi na mabwegeHabari wana bodi,
Hivi sasa kuna malalamiko mengi juu ya mabadiliko ya utaratibu wa shughuli za Bunge kuoneshwa live. Mimi kinachonishangaza ni baadhi ya watu hata Wabunge wenyewe wanaolalamikia jambo hili kutokujua ni nani anastahili kuulizwa na kulalamikiwa.
Mimi ninavyofahamu ni Bunge lenyewe ndilo limebadili mfumo wa matangazo yake kurushwa. Bunge limeanzisha Studio yake ambapo ndipo vyombo vingine vitakapokuwa vikichukulia matangazo, kwa TV na Radio. Waandishi wamagazeti wao haina shida.
Sasa kwa nini watu wanalia na JPM? Bunge si taasisi inayojitegemea?
Mbowe muulize Ndugai akupe majibu. JPM ana mamlaka na TBC, aliyezuia vyombo vingine kuingiza mitambo Bungeni ni Bunge.
Na hayo uliyonena ndiyo uhalisia, Mabadiliko yamefanywa na Bunge. Hii ya kulaumu Wizara, Nape, Serikali....inatoka wapi?Habari wana bodi,
Hivi sasa kuna malalamiko mengi juu ya mabadiliko ya utaratibu wa shughuli za Bunge kuoneshwa live. Mimi kinachonishangaza ni baadhi ya watu hata Wabunge wenyewe wanaolalamikia jambo hili kutokujua ni nani anastahili kuulizwa na kulalamikiwa.
Mimi ninavyofahamu ni Bunge lenyewe ndilo limebadili mfumo wa matangazo yake kurushwa. Bunge limeanzisha Studio yake ambapo ndipo vyombo vingine vitakapokuwa vikichukulia matangazo, kwa TV na Radio. Waandishi wamagazeti wao haina shida.
Sasa kwa nini watu wanalia na JPM? Bunge si taasisi inayojitegemea?
Mbowe muulize Ndugai akupe majibu. JPM ana mamlaka na TBC, aliyezuia vyombo vingine kuingiza mitambo Bungeni ni Bunge.
ujinga kipaji,hongera kwa kipaji chakoKwa tabia ambayo ilikua ikifanywa na, baadhi ya wabunge vijana bungeni kuzuwia, kurusha live ni jambo jema tena haki vema na, vizuri daima
....Na kuwatoza Kodi Wanahabari wote wanaotaka kuripoti toka viwanja vya Bunge....Mie nahisi muda si mrefu Tutasikia wanatangaza kuuza VING'AMUZI VYA BUNGE..
Na wasionyeshe live tu maana kunakua na utoto mwingi hadi kufikia kiasi cha kutia kinyaa kuangalia bunge live
KUHUSU viwanda, unaelewa na kufahamu nini kusiana na Sera ya Public Private Partnership? Kiwanda cha Dangote unacho kifanyia rejea (1trillion) kimejengwa na Serikali? Think Big before you tell others to do so.Utu uzima unaousema wewe ndio huu wa serekali kutangaza sukari kuuzwa sh 1800 wakati kiuhalisia tunanunua kwa sh 2500? Wewe ndio unaonekana uko nyuma ya hiyo amri ya kipuuzi ya eti utoto. Unatarajia nini kwenye bunge ambalo spika anaingiza ushabiki wa kisiasa? Je huo utoto unaanza wakati wa mijadala tu sio wakati wa maswali na majibu? Hebu nikuulize huo utoto unaojifichia wewe unafikia kiwango cha serekali kusema nchi yetu itakuwa ya viwanda huku wakitenga bajeti ya viwanda ya shilingi 96bilioni? Unajua bei ya kutengeneza kiwanda kimoja kama kile cha Dangote. Kiwanda kile ni karibia 1Trilioni, sasa wewe hustuki watu kukwepa kuonyesha bunge live ni sehemu ya kukwepa maswali mazito kwa hicho kichekesho cha kutangaza nchi ya viwanda? Think big brother, unaingizwa chaka na wanasiasa waliolifikisha taifa hapa lilipo na hawako tayari mapungufu yao kusemwa hadharani, na namna pekee ni kujadili mambo ya wananchi kifichoni. Wewe unawaamini vipi watu waliosaini mikataba yote ya kihuni leo kwenye taifa letu, halafu wewe unasupport haohao wajadili maisha yetu kwenye kificho.
Kama haamini kama ni Ndugai, yule aliyetoa maelekezo yale hamjui? Kwani kanuni zao zinasema je kuhusu maamuzi yanayohusu shughuli za Bunge?mbowe anasema halijawahi kujadiliwa kwenye kamati ya uongozi hivyo haamini kama ni ndungai.
KUHUSU viwanda, unaelewa na kufahamu nini kusiana na Sera ya Public Private Partnership? Kiwanda cha Dangote unacho kifanyia rejea (1trillion) kimejengwa na Serikali? Think Big before you tell others to do so.
Mkuu, kuna tatizo la baadhi watu kujua mambo. Hili la viwanda kwa wengi nalo naona baadhi ya watu hawajaelewa. Wanafikiri kuwa serikali ndiyo itakayojenga viwanda.KUHUSU viwanda, unaelewa na kufahamu nini kusiana na Sera ya Public Private Partnership? Kiwanda cha Dangote unacho kifanyia rejea (1trillion) kimejengwa na Serikali? Think Big before you tell others to do so.