NIJUAVYO MIMI NI KUWA MUNGU HANA DINI. HUU NI UTARATIBU TU WANADAMU WALIOJIWEKEA WAKATI WANAMTAFUTA MUNGU.Ukitazama kwa makini utaona kuna Dini moja tu ya Mungu lakini nini chanzo cha madhehebu kuwa mengi duniani? Kama dunia ni moja na Mungu ni mmoja basi lazima awe na Dini moja! Na ndiyo Maana agano lake ambalo lilikuwa jipya kabla ya agano jipya vinaishi pamoja! Injili ipo ndani ya msahafu bila shida! Kwanini madhehebu Lengo lake nini?
Hoja ya msingi inaanzia hapaAliyekuambia Mungu alileta dini ni nani?
Dini ni utaratibu tu wa binadamu kumtafuta Mungu, na uwepo wa madhehebu ni matokeo ya migongani wa ni zipi kanuni bora za utekelezaji wa utaratibu huo.
Mungu hana dini. Wacheni kujidanganya.NIJUAVYO MIMI NI KUWA MUNGU HANA DINI. HUU NI UTARATIBU TU WANADAMU WALIOJIWEKEA WAKATI WANAMTAFUTA MUNGU.
Yan wakati na comment nikakumbuka ujumbe wako hapo Chini. Mungu si dini, wala dini si Mungu. Biblia si Mungu wala Mungu si Biblia. Msahafu si Mungu wala Mungu si Msahafu. Hivi vyote vimeletwa na wanadamu ili tuweze kumjua Mungu.Dini ya asili?
Na hiyo dini ya Mungu unoisemea hapa ni IPI?
Mungu anahusiana vipi na hiyo dini?
Dini ya ukweli kabisa ni "UPENDO"Hinduism, Bahaí, Zoloism, Christians, Muslims, Masonic, Budhism, Jewish, Taoism and so on..
HIYO DINI MOJA NI IPI UIONGELEAYO?
Dini ni mawazo ya wanadamu huu ya MunguYan wakati na comment nikakumbuka ujumbe wako hapo Chini. Mungu si dini, wala dini si Mungu. Biblia si Mungu wala Mungu si Biblia. Msahafu si Mungu wala Mungu si Msahafu. Hivi vyote vimeletwa na wanadamu ili tuweze kumjua Mungu.
Hapo ndio panashida, mapokeo ya Wanadamu yamekua mabaya kiasi kwamba hadi wanadamu wanachukiana kisa kumwabudu Mungu ambaye yeye hajasema kama ni Jah, Buddha, Masonic, Christian au Muslim.Unaelewa kwamba ingawa Mungu hana dini lakini watu wake wana dini, na pia hao watu wake wanamapokeo tofauti juu ya Mungu
Dini zote ni kazi ya binadamu na kwa asili binadamu ni vigumu kukubaliana kwa mambo mengi, ndio chanzo cha madhehebu mengi yakijaa ubinafsi.Hakuna binadamu anayeweza kumwelewa Mungu na kumueleza kwa usahihiUkitazama kwa makini utaona kuna Dini moja tu ya Mungu lakini nini chanzo cha madhehebu kuwa mengi duniani? Kama dunia ni moja na Mungu ni mmoja basi lazima awe na Dini moja! Na ndiyo Maana agano lake ambalo lilikuwa jipya kabla ya agano jipya vinaishi pamoja! Injili ipo ndani ya msahafu bila shida! Kwanini madhehebu Lengo lake nini?
Asante mkuu lakini nataka jua hiyo dini aliyoiwaza muanzisha thread!Dini ya ukweli kabisa ni "UPENDO"