Kwa anayemfahamu mgonjwa aliyepo pichani atoe taarifa

"Anajielwa lakini amepoteza kumbukumbu"

Hapo huenda ndugu zake wamejificha na Mwamba kaamua kufake kama hawajui ndugu zake ili kuwaepusha na mzigo wa bills,

Kuna namna viongozi wa CCM inabidi wajitathmini .
Wajitathmini Nini? Wanaopaswa kujitathmini ni Wananchi wenyewe wala siyo Watu wa CCM. Hivi CCM wasinunue 'mashangingi' ya kufanyia safari za anasa unataka wajihangaishe na hao Watu ambao wameshindwa kujilipia bill ya matibabu huko mahospitalini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…