teetotaller JF-Expert Member Dec 16, 2014 307 204 Mar 8, 2016 #1 Naomba kuuliza kwa anayejua hili:- Je Jogoo Aliewika Baada Ya Petro Kumkana Yesu Mara Tatu Alikuwa Wa Nani? Karibuni kwa majibu wapendwa
Naomba kuuliza kwa anayejua hili:- Je Jogoo Aliewika Baada Ya Petro Kumkana Yesu Mara Tatu Alikuwa Wa Nani? Karibuni kwa majibu wapendwa
Desire Dizaya JF-Expert Member Feb 16, 2015 6,476 11,651 Mar 8, 2016 #2 Wa kuhani mkuu anaeitwa kayafa!
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Jul 26, 2012 21,035 64,853 Mar 8, 2016 #3 aggyjay said: Wa kuhani mkuu anaeitwa kayafa! Click to expand... Excellent,..Excellent!! Nitafute nikununulie LUNCH. Haya swali jingine. Hivi kwenye siku ya Pentekoste baada ya kushuka roho mtakatifu Mitume walisekana kunena kwa lugha? Je, hii ni lugha ipi? Usisahau kunitafuta Bible Girl.
aggyjay said: Wa kuhani mkuu anaeitwa kayafa! Click to expand... Excellent,..Excellent!! Nitafute nikununulie LUNCH. Haya swali jingine. Hivi kwenye siku ya Pentekoste baada ya kushuka roho mtakatifu Mitume walisekana kunena kwa lugha? Je, hii ni lugha ipi? Usisahau kunitafuta Bible Girl.