Kwa aina hii ya matangazo usishangae kuona hupati wateja

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
6,028
8,921
Hilo hapo chini ni tangazo katika moja ya migahawa hapa mjini DSM,

Ameanza kwa mtiririko huu
∙ Supu ya Samaki
∙Choo cha kulipia
∙Chapati
∙maandazi
∙Wali + Pilau
∙Chips

Karibuni sana,

Katika hili tangazo lake kosa kubwa alilolifanya ni kuandika Choo cha kulipia katikati ya tangazo la chakula, Mteja akishasoma hivyo tayari ile hamu ya kuendelea kuwa hapo inaondoka, Tujifunze kuandaa matangazo yanayoendana na biashara husika pasipo kuchanganya vitu vya tofauti vinavyoweza kukupunguzia wateja
 
Attachments

  • 20240706_090406.jpg
    20240706_090406.jpg
    2.3 MB · Views: 11
Hilo hapo chini ni tangazo katika moja ya migahawa hapa mjini DSM,

Ameanza kwa mtiririko huu
∙ Supu ya Samaki
∙Choo cha kulipia
∙Chapati
∙maandazi
∙Wali + Pilau
∙Chips

Karibuni sana,

Katika hili tangazo lake kosa kubwa alilolifanya ni kuandika Choo cha kulipia katikati ya tangazo la chakula, Mteja akishasoma hivyo tayari ile hamu ya kuendelea kuwa hapo inaondoka, Tujifunze kuandaa matangazo yanayoendana na biashara husika pasipo kuchanganya vitu vya tofauti vinavyoweza kukupunguzia wateja
Si tanzania hii mkuu. Tanzania unakuta bar iko katika ya tope meza chafu na watu wamejaa. Unakuta mgahawa umejaa nzi na watu wamejaa.
Nakumbuka wakati ansoma UDOM tunaacha cafteria safi za Shabiby tunazama chaka huko kwa wajasi kuna nzi kuchafu eti tunasema msosi wao ndo mtamu mpaka shabiby anamwaga chakula.
Nikikumbuka mpaka leo sielewi tulikuwa tunafuata nini.
 
Fact mkuu
 
Ndo raha ynyw hy kula huku unakimbizana na nzi, mm nlkuwa kule humanities/bondeni naacha cafeteria pale nashuka ujasi kula na juisi juu
 
Back
Top Bottom